miss charming
JF-Expert Member
- Dec 3, 2016
- 910
- 906
- Thread starter
- #41
KwaniniUmri wako tafadhali,kama hutojali.
KwaniniUmri wako tafadhali,kama hutojali.
Kwatabia hizo, basi huyo atakua anatokea huko...... kwa akina mfumo dumeHuko hasusi naongelea vitu vingine labda umemwambia kitu hiki cjapenda hapo unamkuta ndo anasusa anaondoka
Kuna shauri nyingine hutolewa kulingana na umri wa mlengwa/walengwa.Kwanini
Ebu sema neno ebu....tehteehhUmri wako tafadhali,kama hutojali.
kwahiyo Nicola Tesla na ma genius wenzake kama kina isaq newton .Albert Einstein wao walikuwa hawaishi maisha mkuu ...maana hawakuwahi kuwa na wapenzi wala watotoHakuna maisha bila mapenzi mkuu na katika utafutaji huo wa hela lazima uwe na amani ya moyo nayo inaletwa na mapenzi
25Kuna shauri nyingine hutolewa kulingana na umri wa mlengwa/walengwa.
Aaaahh mkwara gani mzee mwenzangu[emoji12] [emoji12]Ebu sema neno ebu....tehteehh
Maana sio kwa mkwara huu haki
hahaaaSasa huo muda anaosusa kwann huwa hunitafuti?
Mmmh kuna sababu kwann humpii simu labdaMim pia huwa sina kawaida ya kumpigia mwanamke wangu labda anipigie yeye ila nampenda sana NA sio miez 6 ni miaka 4 kwahyo kila mmoja na hulka yake ila ukwel anao moyoni
Ona sasa kumbe twini Wangu kabisaa,.sasa Fanya hivi "mpotezee".
Binti analalamika kwamba Bwana hasemi.... jana niliona binti mwingine analalamika kwamba Bwana anasema sana.....Aaaahh mkwara gani mzee mwenzangu[emoji12] [emoji12]
inaonyesha wazi kuwa mpka leo hii haujui tofauti ya mapenzi na ngono !!?Hahaaa mkuu unajitekenya halafu unacheka mwenyewe ila hii kauli yako inasemwa sana na wanaume waliotendwa .. Mapenzi kitu kingine ndugu hayana jinsia
Naenda kununua buns ninnywee hii coffeeKm mna mipango ya muda mrefu hivyo mbona unaanza kuogopa vitu vidogo km mwenzio kuzila
Lakin yanaleta amani uongo kweliNi kweli mapenz hayana jinsia lakin mapenz sio basic need kwa bnadamu.
Kila MTU na lwake Mzee baba[emoji28] [emoji28]Binti analalamika kwamba Bwana hasemi.... jana niliona binti mwingine analalamika kwamba Bwana anasema sana.....
Basi humu ndani naona tafrani tupu..tehteehh
Ona sasa kumbe twini Wangu kabisaa,.sasa Fanya hivi "mpotezee".
Anatokea kwenye visiwa vya karafuu mkuuKwatabia hizo, basi huyo atakua anatokea huko...... kwa akina mfumo dume
Inachangia kuleta aman kwa kias chake sio 100%Lakin yanaleta amani uongo kweli
Na wala sionyeshi sana kama nampenda maana najua atasumbua zaidi sema tu ni tabia yakeAnajua unampenda sana na anajua unaumia akifanya hivyo otherwise mwambie aache hiyo tabia sio uanaume