miss charming
JF-Expert Member
- Dec 3, 2016
- 910
- 906
- Thread starter
- #241
Saizi ya katiNi mfupi ee??
Saizi ya katiNi mfupi ee??
Aaah wapi kuna siku nilikuja kujua kumbe ni muongeaji labda anafanya kusudi tu kwangu tulitoka out na rafiki yake yaani njia nzima anaongea yeye tuSio tatizo.
Ndio maana nikamuambia, kuna Watu wameumbwa hivyo,
Yaani sio waongeaji
Asante mkuu umemaliza yote ila kizuri nimeamua kumuweka pembeni. Maana mm pia kigezo cha kujua MTU ananipenda anionee wivu kwanza yaani angalau inaleta raha mwanaume anavokuwa anafoka kwa sababu ya wivu,(A)Anazirazira:
1.Ashakusoma unamtetemekea sana, akinuna tu unabembeleza mpaka anajisikia raha.Hakuna asiyependa raha, lazima anune kila siku.
2.Anatafuta upenyo wa kukuacha. Siku akizira usipobembeleza ndo hutomuona tena. Kuhakikisha hili, ebu siku moja akizira nawewe chuna umuone kama atatafuta namna ya kujirudi au atachuna.
(B)UKIMYA:
(i)Ni mtu wa kukaa kimya hadi umuongeleshe =ni tabia/haiba yake(personality), siyo muongeaji.Hii ndiyo sababu hata akipiga simu haongei sana.Hebu jaribu kuchunguza kama ni tabia yake au la kwa kuangalia anapokuwa na watu wengine either wanaume au wanawake kama pia huwa wanaanza kumuongelesha tu!
(ii)Anakupigia simu baada ya muda mrefu kupita = Anahitaji umuanze, hauko akilini mwake muda mwingi, anakukumbuka kwa nadra.
(C)"Umetoka kwa bwanako?".... Huku akichekacheka:
1.Hana wivu juu yako, yaani kwake ni kwamba mwanamme yeyote akupitie yeye sawa tu ilimradi na yeye anapata.
2.Hakuamini, kama ulivyokwisha ona.
3.Hatanii, anawasilisha ujumbe wake na hisia zake(vile anavyokufikiria) pasipo kutaka kusababisha ugomvi.
(D)Hakuamini kwa sababu:
1.Unatabia ambazo zinamtia shaka
2.Umewahi muonesha kuwa wewe siyo wa kuaminika, alikuamini lakini aliwahi kukuona ktk hali ambayo hakutegemea.
3.Hajiamini(Inferiority complex), anahisi wewe siyo level yake.
HITIMISHO:
(1)Mapenzi pasipo wivu, Hamna mapenzi hapo ni kusogeza tu siku....ukitaka utolewe roho mguse mke wa mwanamme(utashangaa kwanini nasema mwanamme) ndiyo, mwanamme yeyote hawezi vumilia aone mpenzi wake aliyenaye malengo na anayempenda anatumiwa na mwingine hawezi hata thubutu kukutania upuuzi huo asiopenda kuuona na akiongea "umetoka kwa bwanako" atakuwa ktk hasira na sio ktk kicheko. So, huyo in short hana malengo na wewe!
(2)Mawasiliano ni muhimu sana ktk mahusiano yoyote hasa ya kimapenzi! Ukiona haoni umuhimu wa kuzungumza na wewe basi haoni umuhimu wa kuyajenga na kuyadumisha mapenzi yenu.
(3)Ukimpenda mtu, muda mwingi anakuwa akilini mwako na ukim-miss unatamani hata usikie sauti yake tu....utapiga simu mara kwa mara, hasa mnapokuwa hampo pamoja!
Nimeongea si kama mwenye experience ktk mapenzi tu lakini pia kama psychologist!
Habari za usiku,
Kuna mwanaume nimedumu nae kwa takribani miezi 5 mpaka sasa lakini kitu kinachonikera ni mtu wa kuzirazira na kususa susa sana mpaka najiuliza huyu ana mapenzi ya dhati kweli maana mimi najua mwanaume hasusi na hasa kwa mwanamke ampendae na pia huwa sio mtu wa story.
Yaani anaweza mkakaa hapo kimya mpaka uanze wewe kuongea na wakati mwingine simu anaweza akakaa siku nzima asipige au akipiga anaongea maneno mawili tu keshakata.
Kitu kingine haniamini kabisa yaani haamini kama yuko peke yake, kama labda umetoka utasikia ulikuwa wapi au ulikuwa kwa bwanako nini yaani saa zingine anaongea huku anacheka kana kwamba hanionei wivu.
Naomba wenye experience na mapenzi hii ikoje hasa katika mahusiano.
Sasa ningekuwa na hao mabwana lukuki yeye ningemvumilia wa nnKishakushitukia ndiyo maana anazila, anafikiria namna gani akuache na potentially kukuumiza.....hakuna mwanamme anayependa kuwa na mwanamke mwenye mabwana lukuki.
"Unajitokeshatokesha" hiki kiswahili ganiKwa hiyo unajitokeshatokesha ili umpime kujua anakutazamaje sio? Wee endelea tu, jamaa keshakudelete. Kama una gutts za kuendelea kujipendekeza, hongera sana!
Mimi ni mmoja wao ila ukifanya mambo yanayotishia usalama kwa kutumia udhaifu wangu wa kutokuongea lazima nikuachie majeraha kidogo.Sio tatizo.
Ndio maana nikamuambia, kuna Watu wameumbwa hivyo,
Yaani sio waongeaji
safi!(A)Anazirazira:
1.Ashakusoma unamtetemekea sana, akinuna tu unabembeleza mpaka anajisikia raha.Hakuna asiyependa raha, lazima anune kila siku.
2.Anatafuta upenyo wa kukuacha. Siku akizira usipobembeleza ndo hutomuona tena. Kuhakikisha hili, ebu siku moja akizira nawewe chuna umuone kama atatafuta namna ya kujirudi au atachuna.
(B)UKIMYA:
(i)Ni mtu wa kukaa kimya hadi umuongeleshe =ni tabia/haiba yake(personality), siyo muongeaji.Hii ndiyo sababu hata akipiga simu haongei sana.Hebu jaribu kuchunguza kama ni tabia yake au la kwa kuangalia anapokuwa na watu wengine either wanaume au wanawake kama pia huwa wanaanza kumuongelesha tu!
(ii)Anakupigia simu baada ya muda mrefu kupita = Anahitaji umuanze, hauko akilini mwake muda mwingi, anakukumbuka kwa nadra.
(C)"Umetoka kwa bwanako?".... Huku akichekacheka:
1.Hana wivu juu yako, yaani kwake ni kwamba mwanamme yeyote akupitie yeye sawa tu ilimradi na yeye anapata.
2.Hakuamini, kama ulivyokwisha ona.
3.Hatanii, anawasilisha ujumbe wake na hisia zake(vile anavyokufikiria) pasipo kutaka kusababisha ugomvi.
(D)Hakuamini kwa sababu:
1.Unatabia ambazo zinamtia shaka
2.Umewahi muonesha kuwa wewe siyo wa kuaminika, alikuamini lakini aliwahi kukuona ktk hali ambayo hakutegemea.
3.Hajiamini(Inferiority complex), anahisi wewe siyo level yake.
HITIMISHO:
(1)Mapenzi pasipo wivu, Hamna mapenzi hapo ni kusogeza tu siku....ukitaka utolewe roho mguse mke wa mwanamme(utashangaa kwanini nasema mwanamme) ndiyo, mwanamme yeyote hawezi vumilia aone mpenzi wake aliyenaye malengo na anayempenda anatumiwa na mwingine hawezi hata thubutu kukutania upuuzi huo asiopenda kuuona na akiongea "umetoka kwa bwanako" atakuwa ktk hasira na sio ktk kicheko. So, huyo in short hana malengo na wewe!
(2)Mawasiliano ni muhimu sana ktk mahusiano yoyote hasa ya kimapenzi! Ukiona haoni umuhimu wa kuzungumza na wewe basi haoni umuhimu wa kuyajenga na kuyadumisha mapenzi yenu.
(3)Ukimpenda mtu, muda mwingi anakuwa akilini mwako na ukim-miss unatamani hata usikie sauti yake tu....utapiga simu mara kwa mara, hasa mnapokuwa hampo pamoja!
Nimeongea si kama mwenye experience ktk mapenzi tu lakini pia kama psychologist!
Lakini sio kila saa unaongea tuu...hakuna ajenda ya maana na inayolazimu upigiwe simu dakika 45hadi masaa mawili, ni kutulia tuLakini kuongea na mpenzi wako kunanogesh upendo pia
Mnalalamika kusalitiwa kila siku kwasababu mnapeleka mapenzi kibabe kama hiviLakini sio kila saa unaongea tuu...hakuna ajenda ya maana na inayolazimu upigiwe simu dakika 45hadi masaa mawili, ni kutulia tu
Hahaa....mkuu uanaishi wapi make huu Uzi wako imenigusa sana hadi nakuwa na mashaka na weweMnalalamika kusalitiwa kila siku kwasababu mnapeleka mapenzi kibabe kama hivi
Vumilia tu! lakini yakifika kingi hata huulizi mashauri,utamwacha mwenyewee.Habari za usiku,
Kuna mwanaume nimedumu nae kwa takribani miezi 5 mpaka sasa lakini kitu kinachonikera ni mtu wa kuzirazira na kususa susa sana mpaka najiuliza huyu ana mapenzi ya dhati kweli maana mimi najua mwanaume hasusi na hasa kwa mwanamke ampendae na pia huwa sio mtu wa story.
Yaani anaweza mkakaa hapo kimya mpaka uanze wewe kuongea na wakati mwingine simu anaweza akakaa siku nzima asipige au akipiga anaongea maneno mawili tu keshakata.
Kitu kingine haniamini kabisa yaani haamini kama yuko peke yake, kama labda umetoka utasikia ulikuwa wapi au ulikuwa kwa bwanako nini yaani saa zingine anaongea huku anacheka kana kwamba hanionei wivu.
Naomba wenye experience na mapenzi hii ikoje hasa katika mahusiano.
Ndo mjirekebisha jaribu kuwapeni furaha wapenzi wenu ,mwanamke anahitaji vitu vidogo sana mbali kabisa na pesaHahaa....mkuu uanaishi wapi make huu Uzi wako imenigusa sana hadi nakuwa na mashaka na wewe
Mkuu tayariVumilia tu! lakini yakifika kingi hata huulizi mashauri,utamwacha mwenyewee.
Hahahaaa haya mkuu ngoja niwe mpole! Nitalifanyia kaziNdo mjirekebisha jaribu kuwapeni furaha wapenzi wenu ,mwanamke anahitaji vitu vidogo sana mbali kabisa na pesa
Asante kwa kunielewaHahahaaa haya mkuu ngoja niwe mpole! Nitalifanyia kazi
Single now?Mkuu tayari