fredkusi
Member
- Nov 3, 2017
- 66
- 35
Amani inaletwa ba mini eti, sio mapenziHakuna maisha bila mapenzi mkuu na katika utafutaji huo wa hela lazima uwe na amani ya moyo nayo inaletwa na mapenzi
Amani inaletwa ba mini eti, sio mapenziHakuna maisha bila mapenzi mkuu na katika utafutaji huo wa hela lazima uwe na amani ya moyo nayo inaletwa na mapenzi
[emoji120] [emoji120] [emoji120]Asante kwa kunielewa
Nimesema.wapi??Single now?
Pamoja sana KiongoziMimi ni mmoja wao ila ukifanya mambo yanayotishia usalama kwa kutumia udhaifu wangu wa kutokuongea lazima nikuachie majeraha kidogo.
Ni sawa mwanamke anapaswa kuhudumiwa mana moja kati ya majukumu ya mwanaume ni kumuhudumia mke wake ila sometimes wanawake mmezidi kuomba omba pesa kila mara.Yani msione nguo mpya imetoka lazima utake kununuliwa.Hata kama mna mahitaji yenu lakini muwe mnaomba pesa kistaarabu sio kila siku mara nataka hiki mara nataka kile haifai kwakweli.Kwani mwanamke hupaswi kumuhudumia??