Mwanaume kuzirazira sababu yake nini?

Mwanaume kuzirazira sababu yake nini?

Mtaka mawili moja humponyoka.
kupendwa ni muhimu kupgiana cm ovyo ni utoto. labda m2 kama huyo mjarib tu ili kujua anakupenda. wew endelea tu kumpigia cm alaf unatafuta cku unatulia kama cku mbili humpigii kama anakupenda atapata shida lazima akupigie tu.
kuzirazira ni kutokana na mapenz aliyo kuwa nayo unajua mtu anapo kupenda ukimkosea kidogo inamuuma sana.
mim kuna kipind nilikuta mpenz wang anachat na rafiki yake wa kiume alaf yule rafik yake anamuita mpenz wang my love duh nilimaind mpaka mwisho aliomba msamaha sana ila siku msamehe ila baadae hasira zilivyo pungua nilimuelewa tena ila hakurudia tena.
Sawa
 
Hio ni hali ya wanaume tulio wengi, Hatuchukulii uzito kila jambo, hisia anazo sana ila kuziona ni mpaka umfumanie anapiga story na rafiki ake waneaminiana sana hapo utamnasa akikusifia sana. Kuzira anakuinyesha kuwa yeye ni mwanaume kamili hata kama utaamua kumkacha anasimama kama yeye, kwa kifupi ni kwamba maisha bila wewe bado yanaenda japo anakupenda sana.
Yaani nyinyi ni vigumu kueadefine asee
 
Komaa Naye Hivyo Hivyo Kutofautiana Katika Mapenzi Ni Kawaida Sana Kama Unabisha Muulize Mama Yako Au Shangazi Zako Au Marafiki Zako Waliotangulia Kuolewa
 
Ngono ipo kwa ajili ya kufanya PRODUCTION kwa viumbe hai( refer to REPRODUCTION topic) lakini Mapenzi ni sense of mind yaan Ubongo pamoja na Moyo. I know You know that UBONGO ndo Organ amuzi kuu pekee ya kuamua nn kifanyike so, Hitaji la Ubongo(Mapenzi) ni muhimu zaidi kuliko hitaji la mwili(ngono) ndo maana tunaumia zaidi tukiambiwa ''sikutaki'' kuliko kuambiwa ''sikupi nyapu'' coz not important at all
Bravooo[emoji122][emoji122][emoji122]
 
Habari za usiku,

Kuna mwanaume nimedumu nae kwa takribani miezi 5 mpaka sasa lakini kitu kinachonikera ni mtu wa kuzirazira na kususa susa sana mpaka najiuliza huyu ana mapenzi ya dhati kweli maana mimi najua mwanaume hasusi na hasa kwa mwanamke ampendae na pia huwa sio mtu wa story.

Yaani anaweza mkakaa hapo kimya mpaka uanze wewe kuongea na wakati mwingine simu anaweza akakaa siku nzima asipige au akipiga anaongea maneno mawili tu keshakata.

Kitu kingine haniamini kabisa yaani haamini kama yuko peke yake, kama labda umetoka utasikia ulikuwa wapi au ulikuwa kwa bwanako nini yaani saa zingine anaongea huku anacheka kana kwamba hanionei wivu.

Naomba wenye experience na mapenzi hii ikoje hasa katika mahusiano.
Mapenzi ya kweli na halisi ni :- 1. Uaminifu (uwazi kuaminiana kujitoa).
2. Mawasiliano tena ya karibu sana , mfanye mpenzi wako mke / mume wako kuwa rafiki mtawasiliana vizuri na kwa uwazi mkifundishana mengi. Mawasiliano ni muhimu sana.
3. Upendo, upendo hauchunguzi chunguzi wala kuzira, wala hauna kisirani , wala hautafuti makosa.
Sasa cha kufanya jenga tabia ya kutafuta muda wa kukaa na mwenzi wako na kuongea juu ya mambo yenu na Maisha yenu , pia juu ya tabia zenu , muwe wazi kila mmoja. Mawasiliano mazuri yanajenga penzi zuri na tamu. Na mawasiliano yawe katika lugha nzuri ya upendo na urafiki . Hata siku moja usiwaze kuachana na mpenzi wako , happy ujue unajenga kuachana na hutakaa na mpenzi tena itakuwa ni karma tu hapo.
Mbadilishe mpenzi wako sema naye atabadilika na atakuwa unavyotaka.
 
Back
Top Bottom