kyagata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2016
- 13,965
- 26,152
ok..wote bado mnanuka maziwaMm 25 yeye 28
ok..wote bado mnanuka maziwaMm 25 yeye 28
Mkuu heshima kitu cha bureok..wote bado mnanuka maziwa
Nilikuwa natafuta nani atamshauri huyu maana niliona masihala yalikuwa kwenye baadhi ya shauri nilizozisoma hapa.Huyo anaweza kuwa na moja kati ya haya
1. Ni wa mwisho kuzaliwa
2. Alianza mahusiano na wewe kupunguza stress za kuachana na mpz wake aliempenda ila anaona hufeet kwenye lile gap anatafuta njia ya kuacha
3. Hajakuzoe au hajiamini labda wew umemzidi status sasa anahic akipiga story anaweza kukosea.
4. Yeye yupo kwenye kundi la Frgematic, maana kundi hili huwa co wadau wa story.
5 anaweza kuwa na mambo yanamchanganya jaribu kuongea nae kwa upole kama yapo jaribu kimfarij. Atakuona wewe mi mhimu kwenye maisha yake.
Mwisho muombee mpz wako kwa bidii na imani kubwa maana shetan huwa hapendi kuona watu wanapendana na uwe mvumilivu, miezi 5 ni michache sana kukata tamaa.
hiyo more ndio nini best,,,,miezi mitano michache sana kuanza kulalama,,,, kama unampenda ongeza 7months,,,,,ni mapema mno dada,,,mapenzi hayana haraka.....ila bado sijajua wanawake mnataka nini hasa.....Mkuu mapenzi ni more than huko kukazana cjui
Hata wenye miaka kuanzia 40yrs- tabia ni tabia ukichunguza sana huwa watoto wa mamaok..wote bado mnanuka maziwa
Kwan umetukanwa wap mkuu?Mkuu heshima kitu cha bure
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]ok..wote bado mnanuka maziwa
Unakaa chopaaWamezoea kudekezwa na mama zao hao..sipendagi waziraji khaa..mimi nizire ..mwanaume uzire sasa nani atampetipeti mwenzake..mxiuuuuu
Kweli tabia haina umriHata wenye miaka kuanzia 40yrs- tabia ni tabia ukichunguza sana huwa watoto wa mama
[emoji86] [emoji86]Hayuko interested na ww
Haina umri tena unamkuta mtu na elimu yake lakini ayafanyayo utashangaaKweli tabia haina umri
Mtu mzima kufananishwa na mtoto ni tusi kubwaKwan umetukanwa wap mkuu?
SanaHaina umri tena unamkuta mtu na elimu yake lakini ayafanyayo utashangaa
Hvi ni dhambi kutokuwa muongeaji?Hapo kwenye kununa nuna, haipendezi.
Na kingine Jamaa yako anaonesha ana wivu sana.
Ila kuhusu kutokuongea, inaelekea Jamaa ni Mtu wa kuuchuna.
Kuna Watu ndio wako hivyo, sio waongeaji
Huyo mwenzako bado mtoto ki ufupi hamuendani. kwa umri wako unahitaji mtu wa miaka 30+Mm 25 yeye 28
Anamaanisha nyie wote bado ni watoto. Chukua ujumbe huoMkuu heshima kitu cha bure
Hiyo ni exceptional sasa sio hali ya kawaida inayojulikana na wengi.Hata wenye miaka kuanzia 40yrs- tabia ni tabia ukichunguza sana huwa watoto wa mama
umeongea ukweli mzeebaba..big up sanahayo mawazo ya wanawake.. ungejua kwa nini wanaume wananunua malaya au kupiga nyeto ungeelewa... hela ndio kila kitu kwa mwanaume kamili.. mapenzi ni nyongeza tu...