Mwanaume..."KUWADI"

Mwanaume..."KUWADI"

Mkuu Mbu,

Unaweza kutusaidia kwa kutupa walau list fulani ya vitu ambavyo vinafanya issue iitwe ukuwadi na vile ambavyo siyo sehemu ya ukuwadi?

Mie nilidhani kwamba ukuwadi ni pale ambapo X anamfuata Y na kueleza kila kitu on behalf of Z!

Ila kama Z akija kwako (knowingly or not) akaomba kitu kama namba ya simu ya Y, huo nao ni ukuwadi?

Babu DC!!!

Kaka.....ndio maana nikakwambia tafsiri inatokana na mtenda na mtendewa. Weye uloshika makali ama mpini....

Huyo x nitayempa namba ya simu, kwa kujua/kutokujua y anamahusiano na z......huoni nitatafsirika "kuwadi" iwapo tu y na z hawatofurahia u middleman wangu?...

Kwa tafsiri hiyo hiyo, naweza anza itwa shemeji na y iwapo amefurahia u facilitator wangu kwa x, hata kama z amechukia kweli kweli!

Nimekujibu?
 
Biashara inalipa sana hiyo. Majuu watu wanakuwa na makampuni mahsusi kwa kazi hiyo tu. Na mafaili ya taarifa za watu zinahifadhiwa na kulindwa kuliko nyaraka za serikali

Fanya mambo, vijana wanateseka bila ajira mitaani

Umegundua eeeh! Tunaweza kuongeza soko la utalii kama la kule Bali, Indonesia. Isipokuwa Thunami iliwapiga vibaya...inaaminika mashoga ilikuwa ni moja ya beach zao.
 
Kidani changu cha dhahabu nakipenda kama zabibu

Kuwa nacho sioni tabu, naelewa mimi sababu

Kukibeba sioni tabu, kukiacha sioni sababu

Kidani changu za dhahabu nakipenda toka zamani

Kidani changu cha thamani nakipenda toka zamani

Hata mkinifitini sitokiacha asilani
Hahahaha!! Umetisha Bwa'Nchuchu kuna haya maishiri ya taarabu baana kuna siku nimekaa sehemu nasikia wimbo mmoja wa taarabu kibwagizo chake wanaimba "Hadija Kamnyima Kuku Mumewe"....lol
 
Last edited by a moderator:
Kidani changu za dhahabu nakipenda toka zamani

Kidani changu cha thamani nakipenda toka zamani

Hata mkinifitini sitokiacha asilani

Wimbo umenda off the mark manake The Finest yeye kuwadi mmoja tu holllaaaa kafitinika, kaachwa mara moja :lol:
 
Definition yako ya kuwadi inakubalika

Hiyo ya kutoa namba ya simu tu, au kutoa info nyengine kama anafanyakazi wapi, au ana hang-out wapi haihesabiki kuwa ni ukuwadi licha ya kuwa ni tabia ambayo haipendezewi

......hahaha " ...licha ya kuwa ni tabia ambayo haipendezewi"....Nice one. Itampendeza yule tu atayenufaika nayo....
 
Wimbo umenda off the mark manake The Finest yeye kuwadi mmoja tu holllaaaa kafitinika, kaachwa mara moja :lol:
Hahahaha!! Gaijin umesahau kuna tindikali ujue nitakutegea uchochoroni leo
 
Last edited by a moderator:
Umegundua eeeh! Tunaweza kuongeza soko la utalii kama la kule Bali, Indonesia. Isipokuwa Thunami iliwapiga vibaya...inaaminika mashoga ilikuwa ni moja ya beach zao.
Ndahani nataka nikutume kwa mdogo wake Gaijin wewe si rafiki yangu bana najua hautoniangusha nitakuwezesha nitakuwekea mafuta kwenye gari...lol
 
Last edited by a moderator:
Haaahaa! Bishanga hii kali na umesema ukweli kabisa....maana kuipandisha adrenalin na kupata confidence kwa ajiri ya mwanaume mwingine lazima niwe na kasoro.

Hapa dar kuna watu nawafahamu wanaishi kwa ukuwadi.Huwezi amini kwenye vinotebook vyao wana namba za simu za mapedeshee wote wa mjini na hali kadhalika wana namba kibao za wasichana wazuri ambao ni 'available at short notice' (nikikupa baadhi ya majina utashangaa maana ni well known figures). All they do ni kuunganisha na kuna wakati wanalamba hadi dola mia mbili kwa kichwa. Sad enough wanaunganisha hata na wake za watu na vivulana,huwezi amini ndugu yangu lakini hiyo ndo hali halisi bongo ya leo.
 
Definition yako ya kuwadi inakubalika

Hiyo ya kutoa namba ya simu tu, au kutoa info nyengine kama anafanyakazi wapi, au ana hang-out wapi haihesabiki kuwa ni ukuwadi licha ya kuwa ni tabia ambayo haipendezewi

I can, at least deal with that, ila siyo kuitwa kuwadi na umri wote huu!!

Sasa tayari nilishatafuta matenga yangu ya matunda na gunia la mkaa, naweza kwenda romantically kupata lunch ya nguvu kwa Bibi.....!!

Mubarikiwe sana,

Babu DC!!
 
Hahaha DC unaujua msimamo wangu hapo

Bora nkuwache tu, lunch usije ukaiona chungu! Hahahahaha
 
Ndahani nataka nikutume kwa mdogo wake Gaijin wewe si rafiki yangu bana najua hautoniangusha nitakuwezesha nitakuwekea mafuta kwenye gari...lol

The Finest, Hiyo mipira ya kutanguliziwa miye siiwezi...kuna wakati niliona kwenye Jerry Springer Show jamaa aliyekuwa amepata mpenzi online. Sasa siku ya kukutana wakakubaliana wakutane kwenye ile show...mbona kijana presha ilimpanda. Yeye alikuwa anajua amepata bonge la kimwana....kwenda kule kakutana na libaba kubwa hilo kuliko haya yeye mwenyewe.
Mi sitaki kupata hizo suprise...kwenye social circles zangu, I would meet nice chaps in case I need one...as of now, kitabu kimefungwa, lol!
 
Hapa dar kuna watu nawafahamu wanaishi kwa ukuwadi.Huwezi amini kwenye vinotebook vyao wana namba za simu za mapedeshee wote wa mjini na hali kadhalika wana namba kibao za wasichana wazuri ambao ni 'available at short notice' (nikikupa baadhi ya majina utashangaa maana ni well known figures). All they do ni kuunganisha na kuna wakati wanalamba hadi dola mia mbili kwa kichwa. Sad enough wanaunganisha hata na wake za watu na vivulana,huwezi amini ndugu yangu lakini hiyo ndo hali halisi bongo ya leo.

Ndio hali halisi ilivyo na nimewahi kushuhudia. But that is life...ndo maana nikimuona mtu anakunywa sijui mnaita cocktail yake anachoa vidola I just smile maana huwezi jua bwana. Labda ametoka kwenye visiwa vya mafuta na gas Mtwara, au katoka migodi au yeye mwenyewe ndo mgodi unatema dhahabu kila dakika inayopotea kwa saa.
 
Hahaha wewe unacheza, ukiniona jinsi nilivyo mwenyewe utaacha kunimwagia tindikali, badala yake utatafuta mtu akukuwadie :heh:

Halahala mti na macho tu..........usije sema hujawahi kusikia kuwadi akijikuwadia mwenyewe tu

The Finest, Hiyo mipira ya kutanguliziwa miye siiwezi...kuna wakati niliona kwenye Jerry Springer Show jamaa aliyekuwa amepata mpenzi online. Sasa siku ya kukutana wakakubaliana wakutane kwenye ile show...mbona kijana presha ilimpanda. Yeye alikuwa anajua amepata bonge la kimwana....kwenda kule kakutana na libaba kubwa hilo kuliko haya yeye mwenyewe.
Mi sitaki kupata hizo suprise...kwenye social circles zangu, I would meet nice chaps in case I need one...as of now, kitabu kimefungwa, lol!
:lol::lol::lol:...Nyie wawili hapo juu mtalipa bili hapa Hospitali Mwananyamala kwa kuvunja mbavu zangu mbili
 
Back
Top Bottom