Mwanaume..."KUWADI"

Mwanaume..."KUWADI"

Wimbo umenda off the mark manake The Finest yeye kuwadi mmoja tu holllaaaa kafitinika, kaachwa mara moja :lol:

Alaaa kumbe! Basi mi wala bandiko la kwanza sikulisoma. Nilipoona tindikali tu nkashtuka....ikabidi nii-activate 'Acid alert system'
 
:lol::lol::lol:...Nyie wawili hapo juu mtalipa bili hapa Hospitali Mwananyamala kwa kuvunja mbavu zangu mbili

Ntalipia 1/4 ya bill na nyingine Gaijini will take care of. Naamini anajua anakuvunja mbavu kwa kukuchekesha na hatari za kukuwadiana
 
Alaaa kumbe! Basi mi wala bandiko la kwanza sikulisoma. Nilipoona tindikali tu nkashtuka....ikabidi nii-activate 'Acid alert system'
Lol...ndio maana simuoni Lizzy inawezekana huo wote ni uoga wa tindikali
 
Last edited by a moderator:
Alaaa kumbe! Basi mi wala bandiko la kwanza sikulisoma. Nilipoona tindikali tu nkashtuka....ikabidi nii-activate 'Acid alert system'

Akku! yaani hujasoma bandiko lenyewe wewe unaona tindikali tu! Ndo maana umetoa warning kwa kitu sicho 😱hwell:
 
Na ufanye hivyo maana waja waso na stara wanaweza kuidhuru reception yake

Nina ovaroli moja ya 'tindikali proof', nitampa yeye

Lol...ndio maana simuoni Lizzy inawezekana huo wote ni uoga wa tindikali

Ataacha kuogopa, ilipitishwa tindikali imejazwa kwenye gari la zimamoto, nikamwona Lizzy ka-dive kwenye mchanga.
Maisha na reception vitamu lol
 
Last edited by a moderator:
Hapa dar kuna watu nawafahamu wanaishi kwa ukuwadi.Huwezi amini kwenye vinotebook vyao wana namba za simu za mapedeshee wote wa mjini na hali kadhalika wana namba kibao za wasichana wazuri ambao ni 'available at short notice' (nikikupa baadhi ya majina utashangaa maana ni well known figures). All they do ni kuunganisha na kuna wakati wanalamba hadi dola mia mbili kwa kichwa. Sad enough wanaunganisha hata na wake za watu na vivulana,huwezi amini ndugu yangu lakini hiyo ndo hali halisi bongo ya leo.

......mnnh, kauka naweee......ajira binafsi hiyo aka utandawazi na kujiwezesha. 'Mshenga' anakula kwa urefu wa kamba yake....hajalazimishwa mtu hapo 'kuuzwa'. Au kununuliwa....wengine wasipopewa 'clients' wanakuwa mbogo vile vile....mjini kazi.
"Pimp my ride"....
 
A pimp is an agent for prostitutes who collects part of their earnings. The pimp may receive this money in return for advertising services, physical protection, or for providing (or in some cases monopolizing) a location where she may engage clients. A woman who runs a brothel is known as a madam rather than a pimp.Like prostitution, the legality of certain actions of a madam or a pimp vary from one region to the next. Pimps may punish johns for physical abuse or failure to pay, advertise services to potential clients without alerting police, and enforce exclusive rights to 'turf' where their prostitutes may advertise and operate with less competition.

In the many places where prostitution is outlawed, sex workers have decreased incentive to report abuse for fear of self-incrimination, and increased motivation to seek any physical protection from clients and law enforcement that a pimp might provide.The pimp-prostitute relationship can be abusive and possessive, with the pimp / madam using techniques such as psychological intimidation, manipulation, starvation, rape and/or gang rape, beating, confinement, threats of violence toward the victim's family, forced drug use and the shame from these acts.Pimps can be arrested and charged with pandering and are legally known as procurers.
 
CAMARADERIE

Tafadhali tusitake kueleza Kiswahili kwa kutumia Kiingereza.

Kuwadi kwa Kiswahili haina maana ya pimp pekee, na ndo maana The Finest akaitumia hivyo alivyoitumia maana hakuna prostitute aliyehusika.

Fahamta?
 
Last edited by a moderator:
...lol, 'pimp' kwa hiyo tafsiri iwapo tu umeshikilia makali....kama umeukamata mpini, utampa bia na vocha aongeze lyrics....
 
mbaya zaidi jamaa anakukuwadia mjamaa mwenzake..
ukimkataa anakutongoza uwe wake mwenyewe.....
wanaume wasio na vision bwana....
ni walewale siku hana pesa anamwambia mkewe fanya mpango watoto wale...
magumegume
wanaume suruali...

Smile inatosha unaona sasa wanume umewaacha utupu..Yaani mtu anamwambie mkewe wakamdo ili watoto wale.LOOOOOOOOOO muraaaa haiwzekani poti.
 
CAMARADERIE

Tafadhali tusitake kueleza Kiswahili kwa kutumia Kiingereza.

Kuwadi kwa Kiswahili haina maana ya pimp pekee, na ndo maana The Finest akaitumia hivyo alivyoitumia maana hakuna prostitute aliyehusika.

Fahamta?

Swadakta! watu kwa kujitoa fahamu humu, aarggh
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom