...."utatuzi wa mada ya kiswahili kwa lugha ya kiingredha!" .....wanatafuta kukutoa mstarini hawa, pimps, gigolos, madames, mistresses , escorts, sijui brothels tuziache huko huko...
Ndo maana nimewapa mifano ya nyumba za kupanga uswazi, au hata uzunguni mama mwenye nyumba na bintiye....au, asili za ngoma zetu 'kuvutia' wachumba...
Huku maofisini, msijidai hamjaona mgeni rasmi anakabidhiwa mkasi na utepe na binti mrembo. Na wale wanaosafiri kikazi kupewa binti mrembo mzee aji 'feel at home'...ukuwadi upo wa aina nyingi....