Mwanaume..."KUWADI"

Kuwadi ni majasiriasmali aliyejiajiri kama walivyo wajasiriamali wengine....................
Msitukane ajira za watu bana....................................lol
Hahahaha!! Mtambuzi naona unaenda HAND IN HAND na Mbu
 
Last edited by a moderator:
TF nenda arusha maeneo ya unga ltd,ukifika nipigie simu kuna mdada mmoja hapo nataka unikuwadie.
Wala usihofu mmewe hayupo yuko majuu anabeba mabox.
 
Kuwadi hawezi kuwa mshenga...
Nishawishi kwa mamlaka husika labda lakini kwa kiswahili changu hiki lita na nusu naona sio sahihi
Mbu amempa hilo jina ili watu wasimfikirie "KUWADI" vibaya...lol
 
Last edited by a moderator:
Lol, bora umerudi ....uli 'myuti' ghafla!....
Haya bana....nisijekimbiza watu, japo hata Jesus alisema " ....na aliye msafi awe wa kwanza kutupa jiwe!"
Naona Mtambuzi kaamua kumpa jina la Mjasiriamali
 
Last edited by a moderator:
Kuwadi hawezi kuwa mshenga...
Nishawishi kwa mamlaka husika labda lakini kwa kiswahili changu hiki lita na nusu naona sio sahihi

....TF ananitafutia kesi huyo....mie huo ushenga nimeuweka kwenye " "....lol...
 
TF nenda arusha maeneo ya unga ltd,ukifika nipigie simu kuna mdada mmoja hapo nataka unikuwadie.
Wala usihofu mmewe hayupo yuko majuu anabeba mabox.
Hahahahaha!!! Una balaa wewe nikitolewa nduki...kwanza una shilingi ngapi ili twende sawa?
 
Sidhani kama ni mjadala mpya, ila ntautafutia siku nianzishe sred.
Ngoja tumalizane na kuwadi wa TF kwanza maana kamuudhi bht sana.

....lol, huu unaouongelea hapa ni mdahalo mpya, tena ukiweza ufungulie thread...nitakufundisha JOHARI window linavyo play part kwenye mapenzi....

Ukiskia 'love is blind' waweza ji limit kwa matakwa yako, lakini tulio nje ya boksi twaona huko unapoekea 'shimoni!' nasi tutamtuma "mshenga akutahadharishe...
 
....TF ananitafutia kesi huyo....mie huo ushenga nimeuweka kwenye " "....lol...
Nilianza kukushuku nikaona mmh mbona unauremba remba ukuwadi kuna nini nyuma ya pazia....lol!
 
Back
Top Bottom