Mwanaume..."KUWADI"

yale yale ya kuibiwa mwanamke!!.mi siamini kabisa haya makitu aisee.kwanza kwanini anikuwadie bana!?yaani mi nimeshindwa kabisa kufanya makaratee nimweke ndege tunduni?!basi nitakuwa not good enuf na simstahili huyo binti.najua nachokitaka na najua namna ya kukipata,japo pia najua siwezi pata kila ninachokitaka!
 
Back
Top Bottom