Mwanaume..."KUWADI"

Mwanaume..."KUWADI"

bht nimeupenda wivu wake lol

Mwaya, abiria chunga mzigo wako, raha ya ngoma anaijua mchezaji na mchezaji mwenyewe ni wewe.

Bht nae kazidi The Finest! Manake ana wivu na mtoto wa mwanamke mwenzie utasema kamzaa yeye! Kha! Sulfuric acid huwa ni sh ngapi kwani (niko kimkakati aisee, haili kwangu hata siku moja!)
 
Last edited by a moderator:
Ukuwadi ni ajira iliyostawi mjini. Tatizo ni kuwa haikatwi kodi na hivyo kulipunguzia mapato taifa na serikali :mad2:

Haahaa! Labda TRA wataishitukia sasa hivi kama nayo ni taxable business. Kuna wazee wanang'ata ng'ata tu halafu unajiuliza muda wa kuhangaika na haya mambo wanaupata wapi? Kumbe netowork ya vijana watanashati wanaoishi mjini kwa commission za kuwapelekea wale wanaowataka.
 
Labda unamwandikia barua.

Hivi na barua nayo ni kuwadi?

Sasa na mwanamke akimtaka mwanamke, ina maana nae inabidi atafute kuwadiress ama inakuwaje? Msaada tafadhali, mpphhheewww! Kuna m'baba namtolea macho humu (PAW usione hii tafadhali)
 
nafikiri makuwadi wangeenda one more step, washikie miguu na kuomba sub!
 
Haahaa! Labda TRA wataishitukia sasa hivi kama nayo ni taxable business. Kuna wazee wanang'ata ng'ata tu halafu unajiuliza muda wa kuhangaika na haya mambo wanaupata wapi? Kumbe netowork ya vijana watanashati wanaoishi mjini kwa commission za kuwapelekea wale wanaowataka.
Hahahaha!!! Ndahani umenikumbusha vijana wa pale mtaa wa mkwepu
 
Last edited by a moderator:
Bht nae kazidi The Finest! Manake ana wivu na mtoto wa mwanamke mwenzie utasema kamzaa yeye! Kha! Sulfuric acid huwa ni sh ngapi kwani (niko kimkakati aisee, haili kwangu hata siku moja!)
Kongosho anafanya kazi MSD nafikiri anaweza kutusaidia kupata
 
Last edited by a moderator:
Mwalimu mara moja moja uwege unamung'unya maneno basi, kha!
Ila hii mambo ya ukuwadi sio kabisaaa! Hivi inakuwaje unamkuwadia mtu afu anarudi ana ukimwi? How would you feel?
Kuwadi hana jinsia. Kuwadi anaweza kuwa mwanamke au mwanamme

Wewe ukimuunganisha shoga yako kwa rafiki yako......wewe ni kuwadi tu :rolleyez:
 
Mwalimu mara moja moja uwege unamung'unya maneno basi, kha!
Ila hii mambo ya ukuwadi sio kabisaaa! Hivi inakuwaje unamkuwadia mtu afu anarudi ana ukimwi? How would you feel?

Ajali kazini ......ha ha ha
 
Kwa sisi Waswahili, kuwadi ni mwanamke na mwanamme. Pia si lazima awe amemkuwadi mtu ambae yupo commited

Kwetu kuwadi lina maana pana sana tofauti na neno pimp la Kiingereza

...."utatuzi wa mada ya kiswahili kwa lugha ya kiingredha!" .....wanatafuta kukutoa mstarini hawa, pimps, gigolos, madames, mistresses , escorts, sijui brothels tuziache huko huko...

Ndo maana nimewapa mifano ya nyumba za kupanga uswazi, au hata uzunguni mama mwenye nyumba na bintiye....au, asili za ngoma zetu 'kuvutia' wachumba...

Huku maofisini, msijidai hamjaona mgeni rasmi anakabidhiwa mkasi na utepe na binti mrembo. Na wale wanaosafiri kikazi kupewa binti mrembo mzee aji 'feel at home'...ukuwadi upo wa aina nyingi....
 
Back
Top Bottom