Mwanaume..."KUWADI"

The Finest

JF-Expert Member
Jul 14, 2010
21,607
6,071
Kuna wanaume bila aibu huwa makuwadi na kukuwadia wapenzi wa rafiki zao/ndugu yake bila aibu wala hiana. Ni tofauti pale ambapo huyo mwanamke umemtamani mwenyewe na kujaribu bahati yako kwa njia ya usaliti kuliko ukuwadi. Kuna wengine ni makuwadi na hata hawajijui kuwa ni makuwadi kutokana na ukweli kwamba wameshazoea tabia hizo hadi wanaona ni kawaida kwa hilo jambo wanalofanya.

Mara nyingi hawa ni watu ambao hupewa au ununuliwa kwa vitu vidogo kama offer za bia na vihela vya hapa na pale hawa wanaume wa hivi hawana sifa alizotoa Asprin za kuwa Mwanaume Kamili.

Hata hivyo mwanaume anapomkuwadia mpenzi wa jamaa na hatimaye akafanikiwa kumuweka katika mstari na kutembea nae hapo kwa jamaa, nani alaumiwe zaidi? Yule kuwadi ambae wewe waona ni mtu wako wa karibu ila kakuzunguka ama yule mwanamke wako ambae anakubali kirahisi kabisa kuhamisha penzi hapo na kushawishika mara nyingi kutokana na pesa na kwenda kwa mwanaume huyo mpya?
 
Last edited by a moderator:
mbaya zaidi jamaa anakukuwadia mjamaa mwenzake..
ukimkataa anakutongoza uwe wake mwenyewe.....
wanaume wasio na vision bwana....
ni walewale siku hana pesa anamwambia mkewe fanya mpango watoto wale...
magumegume
wanaume suruali...
 
wote sawa kabisa ni wasaliti...........lakini mimi kwenye mazingira ya namna hiyo huwa najitoa kuwaachia warukeruke hadi wachokane........khalafu akitaka kurudisha majeshi baada ya wao kupeana migongo mimi huwa nami huwarudishia kibao ya kuwa silambi matapishi yangu hata siku moja............Endgame.......
 
Tantallaaaa....tantalala........hahahaha mtoto acha kupiga mayowe acha watu waone wenyewe......jamani eh TF na maujanja yake kanyang'anywa kipusa chake....kwi kwi kwi....twambie bana kuwadi gani kakutenda ili tumchape!
Hahahaha!! Hamna banaa nasubiria mchango wako Bishanga
 
Last edited by a moderator:
Tantallaaaa....tantalala........hahahaha mtoto acha kupiga mayowe acha watu waone wenyewe......jamani eh TF na maujanja yake kanyang'anywa kipusa chake....kwi kwi kwi....twambie bana kuwadi gani kakutenda ili tumchape!

.....hahahaha....."kimewaka?"....
TF ukubwa jaa, take it easy banaa...
Tafuta mnyonge wako nawe uchinje kimya kimya...
 
mbaya zaidi jamaa anakukuwadia mjamaa mwenzake..
ukimkataa anakutongoza uwe wake mwenyewe.....
wanaume wasio na vision bwana....
ni walewale siku hana pesa anamwambia mkewe fanya mpango watoto wale...
magumegume
wanaume suruali...

mwanaumme mkia huyo hawezi kuwa suruali kwa sababu hata nyie siku hizi mwazivaa.......
 
....hahaha, TF vipi bana....
Alaumiwe huyo mw'mke 'bendera'
Fata upepo.

Huyo mw'ume ni "mshenga" tu.
Hahaha!!! Mbu mbona aisee umembadilisha jina
 
Last edited by a moderator:
....hahaha, TF vipi bana....
Alaumiwe huyo mw'mke 'bendera'
Fata upepo.

Huyo mw'ume ni "mshenga" tu.
nimekumiss kweli mzee mwenzangu
kuna bibi hapa anakupenda kweli,ni mzuri .....
 
Thread nzuri sana, kweli wako wanaume makuwadi....Sasa unaonaje tukawa washe moto.

Na je siye tunao peleka posa wenzetu wakipenda sehmu, tunaweza kuwa makuwadi au tusije kuwa makuwadi na hatujijui :A S shade:
 
.....hahahaha....."kimewaka?"....
TF ukubwa jaa, take it easy banaa...
Tafuta mnyonge wako nawe uchinje kimya kimya...
Mbu hahaha...taratibu banaa
 
Last edited by a moderator:
.....hahahaha....."kimewaka?"....
TF ukubwa jaa, take it easy banaa...
Tafuta mnyonge wako nawe uchinje kimya kimya...

Ukiona TF ana rap asubuhi asubuhi ujue sio bure kafanziwa tena big time,halafu anataka eti nichangie mawazo mmmmmhhhh na Husninyo and the gang kazi yao nini?
 
Kuwadi ni WAKALA au middleman.
Hana kosa.
Sidhani kuwa mwanamke wa msimamo atapagawa kwa kusikiza saundi za kuwadi, kama hakuwa na mbegu ya penzi kwa mwanaume anayemtaka!

Safi sana PakaJimmy
umeongea point
 
Kuna wanaume bila aibu huwa makuwadi na kukuwadia wapenzi wa rafiki zao/ndugu yake bila aibu wala hiana. Ni tofauti pale ambapo huyo mwanamke umemtamani mwenyewe na kujaribu bahati yako kwa njia ya usaliti kuliko ukuwadi. Kuna wengine ni makuwadi na hata hawajijui kuwa ni makuwadi kutokana na ukweli kwamba wameshazoea tabia hizo hadi wanaona ni kawaida kwa hilo jambo wanalofanya.

Mara nyingi hawa ni watu ambao hupewa au ununuliwa kwa vitu vidogo kama offer za bia na vihela vya hapa na pale hawa wanaume wa hivi hawana sifa alizotoa Asprin za kuwa Mwanaume Kamili.

Hata hivyo mwanaume anapomkuwadia mpenzi wa jamaa na hatimaye akafanikiwa kumuweka katika mstari na kutembea nae hapo kwa jamaa, nani alaumiwe zaidi? Yule kuwadi ambae wewe waona ni mtu wako wa karibu ila kakuzunguka ama yule mwanamke wako ambae anakubali kirahisi kabisa kuhamisha penzi hapo na kushawishika mara nyingi kutokana na pesa na kwenda kwa mwanaume huyo mpya?

Lengo lako haswa ni nini?
 
14 Reactions
Reply
Back
Top Bottom