Leo wamekugusa mtima! Sasa hichi kinyongo si kitakuletea kiungulia mamii! Basi tuwapeleke kwa Salama Jabir
....nilitaka kukuuliza nani alikukuwadia kwake, lakini hiyo conc.sulphuric acid noma!....
Yale ya mama yake Lulu kudaiwa kusema ati lulu ndo alikuwa bread winner kwao! Mama mzima anafaa kuwa nyumba ndogo ya mtu kama sio kuuza maandazi kibarazani anategemea mwanae! Wazazi wengine ni wa kucharaza viboko kabisaa!
Hana hadhi hata ya kusutwa live kwenye show ta Gatsby Salon sembuuse CNN na Larry King?
bht atakuwa ameelewa hapa nadhani...lol.......nawe wakaribia kuelewa somo. Kwenye jamii nyingi za kibantu kukuwadiwa ni jambo la kawaida.
King'asti, umewahi chunguza ile Reed dance ya Mswati? Ushawahi chunguza mila za kuwacheza wanawari? Vipi ile ngoma ya chagulaga ----asili ya kina The Boss, chief of Urambo? Enhe, na wamaasai nao..Oopss...nisijeitwa mkabila.
Sie tunaojitia wa mjini twajifanya wajuzi wa 'egoli'....wakati mila na desturi zinatusuta. Kukuwadiwa/kumkuwadia mtu 'hakuepukiki'...ila kuna mipaka yake.... 😉
Lakini unajua kuwa kwa wengine ni kula hasara hiyo tindikali yako tu? Maana hata akuwadiwe na dunia nzima, hawashi wala hazimi :rolleyez:
Khaa alokwambieni kuwadi shurti awe mwanamme kawapotezaaaaaa. Ukuwadi hauna jinsia
Upo?
Na ukitaka tindikali sema nna kiwanda [kuwadi kazini....Bwa!ha!ha!ha!]
By the way Gaijin ukimwona Lizzy mwambie bepari bishanga anakusalimia na usisahau kumjulisha niko njiani naelekea maldives for a short vekesheni.
....nawe wakaribia kuelewa somo. Kwenye jamii nyingi za kibantu kukuwadiwa ni jambo la kawaida.
King'asti, umewahi chunguza ile Reed dance ya Mswati? Ushawahi chunguza mila za kuwacheza wanawari? Vipi ile ngoma ya chagulaga ----asili ya kina The Boss, chief of Urambo? Enhe, na wamaasai nao..Oopss...nisijeitwa mkabila.
Sie tunaojitia wa mjini twajifanya wajuzi wa 'egoli'....wakati mila na desturi zinatusuta. Kukuwadiwa/kumkuwadia mtu 'hakuepukiki'...ila kuna mipaka yake.... 😉
Kwa hiyo ukuwadi sio ajira mbaya kabisa
Mkuu wengi hawajui kwamba kuwadi ni sawa na dalali.................kwa hapa jijini Dar, kuna wale madalali wanaotafutia watu nyumba..........akiona nyumba inang'aa na inapendeza anaitafutia mpangaji fasta na kuchkua cha juu kwa mpangaji na kwa mwenye nyumba.............huyu anaendesha familia kwa kazi hiyo...............Je ana tofauti gani na KUWADI...............naam, 'anakula kwa urefu wa kamba yake'...heheh....
Ndahani mimi ndo maana naona ni insultKumtuma mwanaume mwenzangu amtonge mwanamke on my behalf...mmmh mbona haijakaa sawa. Kipi alichonacho ambacho mi sina?