Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,924
- 95,728
Haina shida ila usiniumizie rafiki yangu Miss Natafuta please!Mimi Bujibuji na mke wangu mpenzi Miss Natafuta hatuvaagi
Haina shida ila usiniumizie rafiki yangu Miss Natafuta please!Mimi Bujibuji na mke wangu mpenzi Miss Natafuta hatuvaagi
Unatatizo kwa kijana wa umri huo dushe halikawii kusimama ukiwa karibu na watoto wa kike. Ni sekunde sifuri tu dude linainuka, na inakuwa fedheha. Kama haliinuki kuna tatizo. Hakuna kitu kinachosumbua kuficha kama dushe likisimama in public Afu hujavaa boksaaaaWakuu habarini za kunyooshwa na sizonje.Kwanza kabisa ningependa niweke wazi jinsia yangu then nieleze dokezo langu.Mimi ni mwanaume miaka ishirini na.Nipo chuo hapa mlimani nachukua masomo ya sayansi ya jamii.Tatizo nililokua nalo mimi toka nianze chuo sijawahi kuvaa chupi wala boksa au bukta zaid ya nguo moja tu.Je!hili ni tatizo au ni kawaida kwa mwanaume..??
Mkiwa period mnajistiri vipi?Mimi Bujibuji na mke wangu mpenzi Miss Natafuta hatuvaagi
Inategemea. Kama ni masika period tunatumia mwavuli kama ni kipupwe tunavaa nguo nzito za kuzuiA baridiMkiwa period mnajistiri vipi?
Miaka ishirini, lazima mshedede uinuke mademu wakiwa pembeni. Kama haliinuki basi dogo ana tatizoIm, sipati picha huo mshedede unahangakaje humo ndani ya suruali.
Ila ni sawa lakini hakuna tatizo
Kyupi kimefunjikaKwa nini huvai kyupi?
Hali ya hewa inaruhusu mkuuWakuu habarini za kunyooshwa na sizonje.Kwanza kabisa ningependa niweke wazi jinsia yangu then nieleze dokezo langu.Mimi ni mwanaume miaka ishirini na.Nipo chuo hapa mlimani nachukua masomo ya sayansi ya jamii.Tatizo nililokua nalo mimi toka nianze chuo sijawahi kuvaa chupi wala boksa au bukta zaid ya nguo moja tu.Je!hili ni tatizo au ni kawaida kwa mwanaume..??
Navaa kwa masaa mkuu yaani kuanzia moja asbh mpk 11 jioni.Wewe huwa unavaa chupi?
Unaelekea kuwa delicious!Wakuu habarini za kunyooshwa na sizonje.Kwanza kabisa ningependa niweke wazi jinsia yangu then nieleze dokezo langu.Mimi ni mwanaume miaka ishirini na.Nipo chuo hapa mlimani nachukua masomo ya sayansi ya jamii.Tatizo nililokua nalo mimi toka nianze chuo sijawahi kuvaa chupi wala boksa au bukta zaid ya nguo moja tu.Je!hili ni tatizo au ni kawaida kwa mwanaume..??
Kwa mwanaume kamili hawezi vaa suruali bila boxes au pensi.Utakuwa sio kibamia utakuwa kinyanyachungu umepitiliza ukibamia kabisa.