Mwanaume kutovaa chupi

Mwanaume kutovaa chupi

Faida ya uvaaji wa chupi, boksa, au bukta ni pale itakapotokea dharula ta kutatuka suluwali bado utakua umesitilika kinyume na pale usipovaa
si hivyo tu lakini ikumbukwe kwama uvaaji wa nguo ya ndani inazuwia pia mitikisiko ya mwili maaneo muhimu kama mbele na nyuma hivyo inakuwa hujaweweka wenzio katika majaribu,

Maana kuna baadhi ya waja wana maradhi wakiona mtikisiko wa maumbile ya wenziwao huwa wanapatwa na maradhi ya mfazaiko

Nikunasihii mkuu uwe unavaa nguo ya ndani vinginevyo wanzio watakuwekea dhana mbaya kuwa wewe ni ktk Bashite
hahhh ni mtazo wako tu mkuu
 
MIMI KAMA "RICH GANG" NAKUSHAULI NUNUA BUKTA YA YANGA AFRIKAN NA UTAKUWA BINGWA SANA ATA KATIKA KUGEGEDA
 
tatizo sio kuonekana kuna sometime huna hata mawazo ya ngono wala hisia zozote kimapenz lakin abdalah kichwa wazi anasimama mwenyewe je kama ndo umeitwa ghafla kupresent kaz yenu utafanyaje??

VAA NGUO YA NDANI
 
Kuvaa chupi gegedo lina pinda sasa ni boraa kuwa empty gegedo linakuwa salama ty bila ya kupinda
 
hivi unahisije wakati unatembea na kidushe kinakutekenyatekenya kwa ule mguso tembweletembwele?..ama una govi wewe mtu?
 
Chupi sawa ucivae lakn kwenye boxer nafkir huna tu pesa ya kununu zile boxer zetu matoz za elf5 maana ile kila kijana anandoto ya kuimiliki
 
YAN WALE WATEKAJI WAKIKUTEKA HAWAPATI SHIDA...UNAPAKWA WESE FASTA AFU UNAFUNGWA KWENYE KITI
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom