Ndo wasomi wetu hawa.....embu wewe tueleze kwa hiyo elimu yako kuanzia darasa la saba mpaka chuoni...unaonaje?Wakuu habarini za kunyooshwa na sizonje.Kwanza kabisa ningependa niweke wazi jinsia yangu then nieleze dokezo langu.Mimi ni mwanaume miaka ishirini na.Nipo chuo hapa mlimani nachukua masomo ya sayansi ya jamii.Tatizo nililokua nalo mimi toka nianze chuo sijawahi kuvaa chupi wala boksa au bukta zaid ya nguo moja tu.Je!hili ni tatizo au ni kawaida kwa mwanaume..??
Aise this is too low kwa mtu wa level yako kuulizaWakuu habarini za kunyooshwa na sizonje.Kwanza kabisa ningependa niweke wazi jinsia yangu then nieleze dokezo langu.Mimi ni mwanaume miaka ishirini na.Nipo chuo hapa mlimani nachukua masomo ya sayansi ya jamii.Tatizo nililokua nalo mimi toka nianze chuo sijawahi kuvaa chupi wala boksa au bukta zaid ya nguo moja tu.Je!hili ni tatizo au ni kawaida kwa mwanaume..??
Naomba niione chupi yako please!Navaa kwa masaa mkuu yaani kuanzia moja asbh mpk 11 jioni.
Dah jf bwanaMm mwenyewe muda mwingi nakuwa tubeless
Ipo siku utakua unagombania shuttle afu suruali ikatatuka kwa nyuma utarudi hapa kuomba ushauri kama hiyo ni kawaida ama vipi. Vaa hata mapensi boss!!

Hahaha umenifurahisha ukiona matako kumbe matako yana mvuto ndio maana mie sivaagi ili tako lijitokeze wale wa mambo yetu wadindisheM navaa lakini nkionaga matako ya wanawake nasimamisha hadi mtu anagundua