Mwanaume kutovaa chupi

Mwanaume kutovaa chupi

Kama unaish dar hyo haina ubish maana kwa hlo joto

Boxes utaiweka wap
Itakuchubua tu me
Nkijua nainga kwa huo mji

Sbebag boxes hata moja
Mabukta yang ya arsenal,yanga ndo nabebaga tu
tuko pamoja basi
 
upo chuo kweli au upo shule ya msingi?

ulichoandika hakiendani na level ya elimu yako,,,be serious basi
 
Wewe %100 lazima utakuwa na kibamia mtu mwenye mshedede wa maana unaanzaje kutembea bila pichu. maana itakuwa inakupiga mapajani kama vile umejaza debe la sarafu mfukoni
nina mtaimbo mm
 
Haya ndio maswali ya wasomi wetu,alafu tunategemea viwanda ! Labda vya komoni
Jamii forum siku hizi hakuna ile mijadala heavy.... Yani eti tujadili jamaa havai pichu what a heck
 
Wakuu habarini za kunyooshwa na sizonje.Kwanza kabisa ningependa niweke wazi jinsia yangu then nieleze dokezo langu.Mimi ni mwanaume miaka ishirini na.Nipo chuo hapa mlimani nachukua masomo ya sayansi ya jamii.Tatizo nililokua nalo mimi toka nianze chuo sijawahi kuvaa chupi wala boksa au bukta zaid ya nguo moja tu.Je!hili ni tatizo au ni kawaida kwa mwanaume..??

Endelea hivyo hivyo tu Mkuu kutokuvaa Boksa wala Chupi kwani utaweza kufaulu with a distinction Somo la Usukumaji Ukuta ambalo unaweza hata kulitumia pale ukimaliza Chuo na ukiwa bado unatafuta Ajira na likawa bado linakuingizia tu Kipato kizuri tu kwa njia ya Kutukuka kabisa ya Kibaiolojia.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom