Mwanaume kutovaa chupi

Mwanaume kutovaa chupi

Kweli wewe utakuwa na tatizo na tatizo lenyewe,umevuka hata kibamia. Maana kama huvai wangekustukia muda mrefu kwamba huvai. Ksbb mzigo wote ungekuwa unajaa tu unaonekana umetuna
 
Wakuu habarini za kunyooshwa na sizonje.Kwanza kabisa ningependa niweke wazi jinsia yangu then nieleze dokezo langu.Mimi ni mwanaume miaka ishirini na.Nipo chuo hapa mlimani nachukua masomo ya sayansi ya jamii.Tatizo nililokua nalo mimi toka nianze chuo sijawahi kuvaa chupi wala boksa au bukta zaid ya nguo moja tu.Je!hili ni tatizo au ni kawaida kwa mwanaume..??
Kama una kibamia nguo za ndani hazikuhusu. Endelea hivyo hivyo
 
Wakuu habarini za kunyooshwa na sizonje.Kwanza kabisa ningependa niweke wazi jinsia yangu then nieleze dokezo langu.Mimi ni mwanaume miaka ishirini na.Nipo chuo hapa mlimani nachukua masomo ya sayansi ya jamii.Tatizo nililokua nalo mimi toka nianze chuo sijawahi kuvaa chupi wala boksa au bukta zaid ya nguo moja tu.Je!hili ni tatizo au ni kawaida kwa mwanaume..??
kamashine kako kanaruhusu ivio..bahat yako ujapewa yale ya wamasai na wananii hahaa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom