Mwanaume kutovaa chupi

Mwanaume kutovaa chupi

Wakuu habarini za kunyooshwa na sizonje.Kwanza kabisa ningependa niweke wazi jinsia yangu then nieleze dokezo langu.Mimi ni mwanaume miaka ishirini na.Nipo chuo hapa mlimani nachukua masomo ya sayansi ya jamii.Tatizo nililokua nalo mimi toka nianze chuo sijawahi kuvaa chupi wala boksa au bukta zaid ya nguo moja tu.Je!hili ni tatizo au ni kawaida kwa mwanaume..??
dogo unasoma mwaka wa ngapi?
 
Wewe %100 lazima utakuwa na kibamia mtu mwenye mshedede wa maana unaanzaje kutembea bila pichu. maana itakuwa inakupiga mapajani kama vile umejaza debe la sarafu mfukoni
 
Kama unaish dar hyo haina ubish maana kwa hlo joto

Boxes utaiweka wap
Itakuchubua tu me
Nkijua nainga kwa huo mji

Sbebag boxes hata moja
Mabukta yang ya arsenal,yanga ndo nabebaga tu
 
Hakuna ubaya wowote. Mradi mtarimbo usionekane.
 
Utakuwa sio kibamia utakuwa kinyanyachungu umepitiliza ukibamia kabisa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom