aganza
JF-Expert Member
- Mar 9, 2017
- 1,450
- 3,153
ramadhani kakaMimi Bujibuji na mke wangu mpenzi Miss Natafuta hatuvaagi
Sasa unawaiga mademu selaa?? Embu elimikatatizo gani mbona wasichana hawavai
A university student...... kweli tanzania ya viwanda, huo nao n uchafuWakuu habarini za kunyooshwa na sizonje.Kwanza kabisa ningependa niweke wazi jinsia yangu then nieleze dokezo langu.Mimi ni mwanaume miaka ishirini na.Nipo chuo hapa mlimani nachukua masomo ya sayansi ya jamii.Tatizo nililokua nalo mimi toka nianze chuo sijawahi kuvaa chupi wala boksa au bukta zaid ya nguo moja tu.Je!hili ni tatizo au ni kawaida kwa mwanaume..??
Faida ya uvaaji wa chupi, boksa, au bukta ni pale itakapotokea dharula ta kutatuka suluwali bado utakua umesitilika kinyume na pale usipovaayani hata boksa sivai na sitak labda nipate manufaa yake
basi hongerasiwaigi ila nimefanya innovation