Wanawake ni wako chini tu ya wanaume......wanafata amri halali za waume zao kwa manufaa ya ndoa yao.....hata vitabu vinasema mwanaume ndio kichwa cha Nyumba......Yoyo ... hao wanawake mazoba kweli tena mandondocha wa hali ya juu ... kweli kweli mtu anakuambia haya njoo mama nanihii haya mgu pande ili .. subutu .. kisa nini mwanaume, tajiri au Mungu mtu ??? sijui kwanza atanianza vipi
Unajua ukimsujudia mwanaume sana na ukamuonyesha yeye ndo yeye kuliko hata mzazi wako, na hata Mungu .. bila yeye huna tena uhai au maisha .. ndo madhara yake ... hata kama kwetu fukara ..Wallahi vile hanichezei ...sana sana ataishia kudhani tu ila kunikagua .. abadan nasema
Wanawake ni wako chini tu ya wanaume......wanafata amri halali za waume zao kwa manufaa ya ndoa yao.....hata vitabu vinasema mwanaume ndio kichwa cha Nyumba......
......sina hakika lakini ikutokea hutabisha......utakubali tu....aalfu sio udhalilishaji kama wanavyosema wengine ni njia mbadala ya kulinda mali zako...
.....Bi naima ukishaolewa sahau wazazi wako.....imeandikwa mwanamke na ataawacha wazaziwe na kuambatana na mumewe.....kwa hiyo mumewe ndio mwenye say.....
Yoyo ... hao wanawake mazoba kweli tena mandondocha wa hali ya juu ... kweli kweli mtu anakuambia haya njoo mama nanihii haya mgu pande ili .. subutu .. kisa nini mwanaume, tajiri au Mungu mtu ??? sijui kwanza atanianza vipi
Unajua ukimsujudia mwanaume sana na ukamuonyesha yeye ndo yeye kuliko hata mzazi wako, na hata Mungu .. bila yeye huna tena uhai au maisha .. ndo madhara yake ... hata kama kwetu fukara ..Wallahi vile hanichezei ...sana sana ataishia kudhani tu ila kunikagua .. abadan nasema
....alichoamua aliweka TEGO nafikiri mmeshaliskia hili...na lilimnasa walikutwa wameng'ang'aniana zimeshindwa kutoka! ilikuwa aibu mji mzima.....lipi bora?
NaimaOmari,
'' Mwanamke hana amri juu ya mwili wake bali mwanaume'' (Vitabu vitakatifu). Sema hapo imekaaje?
.. au anatafuta kugundua nini hasa .. joto, baridi, kuongezeka kwa njia .. je kama mwizi anaumbile dogo .. ...
NaimaOmari,
'' Mwanamke hana amri juu ya mwili wake bali mwanaume'' (Vitabu vitakatifu). Sema hapo imekaaje?
Dada Naima!
Yawezekana jamaa ana software kwenye vidole vyake labda kapewa na babu yake kwa hiyo akiingiza tu ana detect kitu flani basi inakuwa underfire......ukiwa mkaidi inadhihiirisha kabisa ilitoka nje kama hujatoka nje basi unapanua miguu mzee ainset vidole na kudect vitu flani vitakavyo ashilia ulifaudu nje au lah........ha ha ha ha..
Kazi kweli kweli wanawake mna taabu sana kwa khali hii Ndoa ngumu.....
dada Naima watu wanatumia njia hiyo na wanaisifu sana njia hiyo kuwa inawapa utambuzi wa tatizo lao.......binafsi sijawahi kufanya hivyo lakini ikibidi naweza kufanya hiyo....
.....zama hizi hakuna kuaminiana kabisaaa....kwa upande wa pili sijui wenyewe wanatumia njia gani kutambua kama dume kaenda nje....nasikia ukienda nje wanwake wana uwezo wa kujua wana hisia kali watalaam wanasema hivyo....
.....mtu mmoja alimwambia mkewe anatembea nje mekwe akabisha akaanza kutumia "software" hii akang'amua ukweli kuwa wanamlia mali zake....mkewe bado akabisha....
....alichoamua aliweka TEGO nafikiri mmeshaliskia hili...na lilimnasa walikutwa wameng'ang'aniana zimeshindwa kutoka! ilikuwa aibu mji mzima.....lipi bora?
Yoyo ... hao wanawake mazoba kweli tena mandondocha wa hali ya juu ... kweli kweli mtu anakuambia haya njoo mama nanihii haya mgu pande ili .. subutu .. kisa nini mwanaume, tajiri au Mungu mtu ??? sijui kwanza atanianza vipi
Unajua ukimsujudia mwanaume sana na ukamuonyesha yeye ndo yeye kuliko hata mzazi wako, na hata Mungu .. bila yeye huna tena uhai au maisha .. ndo madhara yake ... hata kama kwetu fukara ..Wallahi vile hanichezei ...sana sana ataishia kudhani tu ila kunikagua .. abadan nasema
Ndio dada'ngu.....lakini jua kuwa wengine utaalam huo wa anga hawajui na hawataki kwa imani zao.......njia mbadala ambayo wanafanikiwa nayo ndio hiyo niliyoizungumzia..unaona uhakika wa mambo mwenzio aloufanya (japo kapitiliza jamani) .. kuna njia nyingi ya kuua panya ... sasa hiyo njia ya kumtia kijiko kooni na kumtapisha haifai kabisa .. lazima atarudia kula tu
hapana dada'ngu lasthope.....kwenye mapenzi mkiwa wawili wala sio kitu hio...ndio njia za kulinda Ndoa.....dada Ndoa ngumu sanakula tano naima, i really like that.Yaani huo ni unyanyasaji wa hali ya juu, kwani hadi uvumilie upuuzi wote huo huyo mwanaume yeye ana gold huko chini ama nini, just tell him to go to hell kama hakuamini, he can disappear kabisa
Aah! dada kama upo ndani ya Ndoa mambo haya utayakubali tu......wanaume wamepewa mamlaka si unajua....na kwa mamlaka ya kikatiba waliyopewa na Muumba basi wana haki ya kulinda mali zao..wanawake wala hat ujinga wa hivi msikubali
Ndio dada'ngu.....lakini jua kuwa wengine utaalam huo wa anga hawajui na hawataki kwa imani zao.......njia mbadala ambayo wanafanikiwa nayo ndio hiyo niliyoizungumzia..
katika mapenzi katika kulinda tunda lako basi mbinu nzuri nzuri kama hizi zinatumika....mbona ni kitendo kidogo tu usikiangalia kitendo hiki kama kinavyo jadiliwa na watu apa.....angalia mnapokuwa wa2 tu hakuna anaejua....mwisho wa siku ndoa inadumu.....mimi nikuulize nyie mnatumia "software" gani?
sasa mbona hamwelekezi mwenzenu njia sahihi mnamkejeli na kumlaumu tu ... mimi na advise you check on Weights and Measures ili wakufundishe jinsi they use the dipstick and calibration can ... it may help ... coz i can picture you really serious and desperate trying to get the scent ... wanaume mmmmmh!!!!!!!!
Nasikia huko majuu kuna maeneo wananunua makufuli machafu kwa ajili ya wahusika kupatatia stimu.........
Fidel80,
Nikutiana uchafu huo ... na huyo mwanamke asiyejua kufanya usafi wa ndani atakuwa amemuokota wapi
Nipe mbinu za kuwapima wanaume maana nami nataka nitumie