Mwanaume kupenda kunusa kufuli la mwenzi wake

Mhache

JF-Expert Member
Jun 20, 2008
345
23
Mimi ni mmoja wa watu wanaoishi kwenye ndoa. Nina jambo ninataka kushirikiana nanyi. Je ni vibaya au ni vizuri kwa mtu kuchukua kufuli/chupi ya mkewe au mke kuchukua ya mumewe na kuinusa kila anapomhisi mwenzi wake.
 
johnj

Member
Jul 23, 2008
90
29
ni vile upendavyo maana ukiinusa ukiwa chumbani kwenu hakuna atakayejua. Ila ninajua kwamba kuna mtu mmoja aliyekuwa na tabia hiyo na yeye alitembea na chupi hiyo popote aendapo na siku moja katika mkutano alipata jasho sana usoni na katika kutoa leso bahati akatoa chupi na kujipangusa ! Nafikiri si vibaya kama tayari upo hivyo la msingi ujiwekee limits lisikukute hilo hapo juu.

Kama hujaanza tabia hiyo then haina maana yoyote kuanza. ni vema ukatafuta namna nyingine ya kutokumuwaza saaana mwenzio maana ikipitiliza unaweza kujikuta unatafuta mtu mbadala wa kukupa company. anyway these are my opinions.
 
Ngoso Mchila

Member
Aug 25, 2008
8
0
Mimi ni mmoja wa watu wanaoishi kwenye ndoa. Nina jambo ninataka kushirikiana nanyi. Je ni vibaya au ni vizuri kwa mtu kuchukua kufuli/chupi ya mkewe au mke kuchukua ya mumewe na kuinusa kila anapomhisi mwenzi wake.

...Unless hamuaminiani kunusa kufuli si ufumbuzi. Kwani utasikia harufu gani kama mtu alilivua kwanza kufuli lake, akazioga bakora au nanihino kisha akaenda kuoga akajipulizia perfume na kisha usiku unajidai kunusa.

...hakika hutapata clue yoyote na utamfanya akuone bwege mtozeni. Wewe weka misimamo tu na kamwe mume/mke hatatoka!
 
Kipanga

JF-Expert Member
Apr 24, 2008
676
34
....Haki ya nani utakuwa umedata wewe!!! Sio bure au ndio mambo ya kuvundikiwa viminofu vya nyama..Teh!! teh!!!!
 
Hofstede

JF-Expert Member
Jul 15, 2007
3,576
1,090
Unatafuta ushauri wa kidaktari kuhusu hili? au ni mambo ya kikubwa ?, nafikiri nenda kwa watu wa saikolojia utapata ushauri.
 
Mbu

JF-Expert Member
Jan 11, 2007
12,747
7,756
Mimi ni mmoja wa watu wanaoishi kwenye ndoa. Nina jambo ninataka kushirikiana nanyi. Je ni vibaya au ni vizuri kwa mtu kuchukua kufuli/chupi ya mkewe au mke kuchukua ya mumewe na kuinusa kila anapomhisi mwenzi wake.

...wewe endelea kunusa tu, dont be ashamed of your animal instincts. Go Tiger go, Grrrrrrr!!!
 
Titus

Member
Jul 28, 2007
80
1
kaka hujasema kwa nn unanusa, ila kama unanusa kwa sababu unampenda, liendeleze tu kaka, ila kuwa makini kama alivyosema johnj, mm huwa navaa ya wife wangu na ninapiga nayo misele bila shida mtu mzima
 
NaimaOmari

JF-Expert Member
Sep 25, 2007
801
45
sasa mbona hamwelekezi mwenzenu njia sahihi mnamkejeli na kumlaumu tu ... mimi na advise you check on Weights and Measures ili wakufundishe jinsi they use the dipstick and calibration can ... it may help ... coz i can picture you really serious and desperate trying to get the scent ... wanaume mmmmmh!!!!!!!!
 
Kinyau

JF-Expert Member
Nov 24, 2006
907
680
nafikiri si jambo la busara kwani ukimfanyia hivyo mwenzako atahisi haumuamini unless unanusa kwa lengo jingine cause niwewahi kushuhudia mama mwenye mimba akitembea na chupi ya mumewe tena chafu kwenye pochi na hata akiwa ofisini akisikia tu kichefuchefu anaitoa na kunusa basi anapata relief. Huyu we cn understand ila kunusa ati unamhisi vibaya wapi na wapi, jengeni tabia ya mazungumzo frequently juu ya mahusiano yenu la sivyo utaumiza pua zako buree.
 
Buswelu

JF-Expert Member
Aug 16, 2007
1,999
338
Kinyau umemmaliza mchezo kwa huyo mjamzito ilikuwa balaa....sasa kichefu chefu na chupi ya mumewe,kumpa relief wapi na wapi?

Mie naona kwenye swala la kunusa pants za mkeo kwa kweli ni tatizo la kisaokilojia..kwa kuwa hujaeleza una nusa kwa maana gani au aliye kwambia anapenda nusa huwa ni kwa maana gani..tunashidwa kwenda ndani zaidi kuhusu hili..

Na hujasema huwa unanusa chafu au safi...kama alivyo ainisha Kunyau yule mama mja wa wazito..yeye ni chafu tu ndio anapenda.
Wengine wana nusa zilizo valiwa wanapata handasi(msisimko)ila ni mara wanapo taka fanya tendo la ndoa.Kwani ina reflect ni msafi kiasi gani.

Am out.
 
Lasthope

Senior Member
Jun 5, 2008
149
6
Hiyo unayotumia wala hata siyo strategy nzuri ya kumshika mkeo hata kama unahisi siyo mwaminifu, what do you think you will get from there, wanawake ni very careful when it comes to cheating brother, hawako kama wanaume ambao wanaweza hata kusahau kuoga baada ya nanihino, we fatilia nyendo zake tu, monitor tabia zake kwa uvumilivu mkubwa kama anacheat utamjua lakini kihivyo sidahni, usife moyo hizi ndoa zina mambo ndo maana wanasema you either stay single and become misarable for your whole life or get married and wish you were dead, lakini bado tu watu wasiooa amakuolewa wako busy kutaka kuingia kwenye hii insitution, all the best.
 
Fidel80

JF-Expert Member
May 3, 2008
21,954
4,388
Jamani kunusa kwa kutafuta stimu au msisimko?au kunusa kujua kama katoka kunanihinoo?Kwa stimu ni safi kama iwa zinakuja kwa kunusa ya mwenzio hili naona kitaalamu halina makosa lakini utaathilika kisaikolojia hapo baadae.....
Kunusa kwa kucheck kama mwenzio katoka nje au lah duh hii kali sasa inajenga hatari sana katika mapenzi sasa ukinusa ukagundua kwenye chupi ya mwanaume kuna nanihino za mwanamke wewe mwanamke utafanya nini??Hii si hatari sasa katika mahusiano yenu...
Unajua siku zote katika mahusiano ya mapenzi/kinyumba kama mmoja wenu anatoka nje ni bora usijue iwe kama usiku wa giza hakuna kitu kinacho uma zaidi kama ukijua mwenzio anakusaliti na kutoka nje hii ni hatari sana na ina athali sana.....
 
Mtu wa Kwao

JF-Expert Member
Jan 15, 2008
258
21

Nakubaliana na wewe mkuu kwa kuwa na mimi ni muhanga wa hili tatizo.kwa kweli inaumiza sana hapa nilipo nafikiri nahitaji msaada wa kisaikolojia.nawaza mpaka nataka kuwa kichaa.cha muhimu ni kutofanya na kibaya zaidi nyie huyu anaeyerun naye nasikia ni muadhirika sasa sijui inakuwaje.mungu tusaidie tu
 
Yo Yo

JF-Expert Member
May 31, 2008
11,216
1,651
Kunusa kwa kucheck kama mwenzio katoka nje au lah duh hii kali sasa inajenga hatari sana katika mapenzi sasa ukinusa ukagundua kwenye chupi ya mwanaume kuna nanihino za mwanamke wewe mwanamke utafanya nini??Hii
kuna watu kila mkewe akirudi anamkagua kwa kumpiga finga sijui ana software gani mkononi ku detect kama mkewe ka mess around.....
 
NaimaOmari

JF-Expert Member
Sep 25, 2007
801
45
kuna watu kila mkewe akirudi anamkagua kwa kumpiga finga sijui ana software gani mkononi ku detect kama mkewe ka mess around.....

Yoyo ... hao wanawake mazoba kweli tena mandondocha wa hali ya juu ... kweli kweli mtu anakuambia haya njoo mama nanihii haya mgu pande ili .. subutu .. kisa nini mwanaume, tajiri au Mungu mtu ??? sijui kwanza atanianza vipi

Unajua ukimsujudia mwanaume sana na ukamuonyesha yeye ndo yeye kuliko hata mzazi wako, na hata Mungu .. bila yeye huna tena uhai au maisha .. ndo madhara yake ... hata kama kwetu fukara ..Wallahi vile hanichezei ...sana sana ataishia kudhani tu ila kunikagua .. abadan nasema
 
Che Kalizozele

JF-Expert Member
Jul 20, 2008
777
46

Thats my sister
 
Kisoda2

JF-Expert Member
May 30, 2008
2,479
742
Duuu!! hiyo kali kweli kweli.mdau unatakiwa kuiweka wazi.kama unafanya hivyo pale unapomissssssss na siyo kumhisi.vinginevyo jibu hakuna hapo.
 
Fidel80

JF-Expert Member
May 3, 2008
21,954
4,388
kuna watu kila mkewe akirudi anamkagua kwa kumpiga finga sijui ana software gani mkononi ku detect kama mkewe ka mess around.....kwi kwi kwi kwi!
Dah hii si mchezo......unajua Mkuu akisha jua unamfatilia kama alikuwa mwaminifu sasa ataamua kufanya either kwa kutafuta kiserengeti boy na baba ataamua kutafuta kibinti........hii inatokea sana katika jamii tunayo ishi.Inafikia kipindi mtu anakeleka kutokana na tabia ya mwenzie ndani ya ndoa ya kutomwamini kwa hiyo anaamua kufanya kweli sasa na kwa umakini wa hali ya juu bila ya yeye kujua....yaani hapo inatumika mbinu mbadala si unajua mtu akisha amua anafanya tu potelea pote lakini nani amesababisha ni mwenzie kwa kufuatilia fatilia na kuto mwamini.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

1 Reactions
Reply
Top Bottom