Mwanaume kupenda kunusa kufuli la mwenzi wake

Wivu umekufikisha hapo. Endelea kunusa, lakini wataendelea kum........na hautajua
 
Yoyo ... hao wanawake mazoba kweli tena mandondocha wa hali ya juu ... kweli kweli mtu anakuambia haya njoo mama nanihii haya mgu pande ili .. subutu .. kisa nini mwanaume, tajiri au Mungu mtu ??? sijui kwanza atanianza vipi

Unajua ukimsujudia mwanaume sana na ukamuonyesha yeye ndo yeye kuliko hata mzazi wako, na hata Mungu .. bila yeye huna tena uhai au maisha .. ndo madhara yake ... hata kama kwetu fukara ..Wallahi vile hanichezei ...sana sana ataishia kudhani tu ila kunikagua .. abadan nasema
Wanawake ni wako chini tu ya wanaume......wanafata amri halali za waume zao kwa manufaa ya ndoa yao.....hata vitabu vinasema mwanaume ndio kichwa cha Nyumba......
......sina hakika lakini ikutokea hutabisha......utakubali tu....aalfu sio udhalilishaji kama wanavyosema wengine ni njia mbadala ya kulinda mali zako...
.....Bi naima ukishaolewa sahau wazazi wako.....imeandikwa mwanamke na ataawacha wazaziwe na kuambatana na mumewe.....kwa hiyo mumewe ndio mwenye say.....
 
Comeon Yoyo ... just imagine the act ... does it really potray a good image in your mind .. na kwanini asikuamini tu rohoni mwake mpaka akupime na vidole ... kwanza ili iweje .. nayeye utampima je au its only oneway .. or you will count how many rounds he will go .. what if he is tired that day akakupa pungufu what would you say ... hes cheated on you??? ... ukirudi tu haya twende ... what the heck ... sincerly speaking .... hapana hapana na hapana .. this is degrading no no no!!! bora basi akufuatilie kila unapoenda hata msalani pia.

aai Yoyo kwanza .. whats the logic .. au anatafuta kugundua nini hasa .. joto, baridi, kuongezeka kwa njia .. je kama mwizi anaumbile dogo .. si ni kujisumbua tu .. hayo mambo walifanya mabibi zetu kutuchunguza bikira tu ... remember once the door is open its open .. ni hiari ya mtu kumfungulia paka panya chui n.k unless otherwise anajiheshimu otherwise kupima hakuna mantiki yoyote
 
dada Naima watu wanatumia njia hiyo na wanaisifu sana njia hiyo kuwa inawapa utambuzi wa tatizo lao.......binafsi sijawahi kufanya hivyo lakini ikibidi naweza kufanya hiyo....
.....zama hizi hakuna kuaminiana kabisaaa....kwa upande wa pili sijui wenyewe wanatumia njia gani kutambua kama dume kaenda nje....nasikia ukienda nje wanwake wana uwezo wa kujua wana hisia kali watalaam wanasema hivyo....
.....mtu mmoja alimwambia mkewe anatembea nje mekwe akabisha akaanza kutumia "software" hii akang'amua ukweli kuwa wanamlia mali zake....mkewe bado akabisha....
....alichoamua aliweka TEGO nafikiri mmeshaliskia hili...na lilimnasa walikutwa wameng'ang'aniana zimeshindwa kutoka! ilikuwa aibu mji mzima.....lipi bora?
 
Yoyo ... hao wanawake mazoba kweli tena mandondocha wa hali ya juu ... kweli kweli mtu anakuambia haya njoo mama nanihii haya mgu pande ili .. subutu .. kisa nini mwanaume, tajiri au Mungu mtu ??? sijui kwanza atanianza vipi

Unajua ukimsujudia mwanaume sana na ukamuonyesha yeye ndo yeye kuliko hata mzazi wako, na hata Mungu .. bila yeye huna tena uhai au maisha .. ndo madhara yake ... hata kama kwetu fukara ..Wallahi vile hanichezei ...sana sana ataishia kudhani tu ila kunikagua .. abadan nasema

NaimaOmari,
'' Mwanamke hana amri juu ya mwili wake bali mwanaume'' (Vitabu vitakatifu). Sema hapo imekaaje?
 
....alichoamua aliweka TEGO nafikiri mmeshaliskia hili...na lilimnasa walikutwa wameng'ang'aniana zimeshindwa kutoka! ilikuwa aibu mji mzima.....lipi bora?

ha ha ha ha!
Mkuu nimewahi sikia hii lakini ni kweli hii science ipo kweli??Duh science za kiafrica kiboko mzungu hapo haoni ndani....
Mimi nilisikia ile ya Njombe mke wa tajiri ilikuwa aibu alafu tajiri mwenyewe siku hiyo aliaga kwenda Dar kwa hiyo walinasa jamaa akiwa Dar ilikuwa aibu nasikia........ikabidi wasubili jamaa arudi Dar awafungue duh...
 
.. au anatafuta kugundua nini hasa .. joto, baridi, kuongezeka kwa njia .. je kama mwizi anaumbile dogo .. ...

Dada Naima!
Yawezekana jamaa ana software kwenye vidole vyake labda kapewa na babu yake kwa hiyo akiingiza tu ana detect kitu flani basi inakuwa underfire......ukiwa mkaidi inadhihiirisha kabisa ilitoka nje kama hujatoka nje basi unapanua miguu mzee ainset vidole na kudect vitu flani vitakavyo ashilia ulifaudu nje au lah........ha ha ha ha..
Kazi kweli kweli wanawake mna taabu sana kwa khali hii Ndoa ngumu.....
 
Fidel80,

Nikutiana uchafu huo ... na huyo mwanamke asiyejua kufanya usafi wa ndani atakuwa amemuokota wapi

Nipe mbinu za kuwapima wanaume maana nami nataka nitumie
 
dada Naima watu wanatumia njia hiyo na wanaisifu sana njia hiyo kuwa inawapa utambuzi wa tatizo lao.......binafsi sijawahi kufanya hivyo lakini ikibidi naweza kufanya hiyo....
.....zama hizi hakuna kuaminiana kabisaaa....kwa upande wa pili sijui wenyewe wanatumia njia gani kutambua kama dume kaenda nje....nasikia ukienda nje wanwake wana uwezo wa kujua wana hisia kali watalaam wanasema hivyo....
.....mtu mmoja alimwambia mkewe anatembea nje mekwe akabisha akaanza kutumia "software" hii akang'amua ukweli kuwa wanamlia mali zake....mkewe bado akabisha....
....alichoamua aliweka TEGO nafikiri mmeshaliskia hili...na lilimnasa walikutwa wameng'ang'aniana zimeshindwa kutoka! ilikuwa aibu mji mzima.....lipi bora?

unaona uhakika wa mambo mwenzio aloufanya (japo kapitiliza jamani) .. kuna njia nyingi ya kuua panya ... sasa hiyo njia ya kumtia kijiko kooni na kumtapisha haifai kabisa .. lazima atarudia kula tu
 
Yoyo ... hao wanawake mazoba kweli tena mandondocha wa hali ya juu ... kweli kweli mtu anakuambia haya njoo mama nanihii haya mgu pande ili .. subutu .. kisa nini mwanaume, tajiri au Mungu mtu ??? sijui kwanza atanianza vipi

Unajua ukimsujudia mwanaume sana na ukamuonyesha yeye ndo yeye kuliko hata mzazi wako, na hata Mungu .. bila yeye huna tena uhai au maisha .. ndo madhara yake ... hata kama kwetu fukara ..Wallahi vile hanichezei ...sana sana ataishia kudhani tu ila kunikagua .. abadan nasema

kula tano naima, i really like that.Yaani huo ni unyanyasaji wa hali ya juu, kwani hadi uvumilie upuuzi wote huo huyo mwanaume yeye ana gold huko chini ama nini, just tell him to go to hell kama hakuamini, he can disappear kabisa, wanawake wala hat ujinga wa hivi msikubali,
 
Ikifikia hapo ndoa naimwaga kabisaaa,haina maana. maana moja ya nguzo za ndoa ni trust na kama imeisha hadi kufikia hapo, the best way is to go separate ways.
 
unaona uhakika wa mambo mwenzio aloufanya (japo kapitiliza jamani) .. kuna njia nyingi ya kuua panya ... sasa hiyo njia ya kumtia kijiko kooni na kumtapisha haifai kabisa .. lazima atarudia kula tu
Ndio dada'ngu.....lakini jua kuwa wengine utaalam huo wa anga hawajui na hawataki kwa imani zao.......njia mbadala ambayo wanafanikiwa nayo ndio hiyo niliyoizungumzia..

katika mapenzi katika kulinda tunda lako basi mbinu nzuri nzuri kama hizi zinatumika....mbona ni kitendo kidogo tu usikiangalia kitendo hiki kama kinavyo jadiliwa na watu apa.....angalia mnapokuwa wa2 tu hakuna anaejua....mwisho wa siku ndoa inadumu.....mimi nikuulize nyie mnatumia "software" gani?
 
kula tano naima, i really like that.Yaani huo ni unyanyasaji wa hali ya juu, kwani hadi uvumilie upuuzi wote huo huyo mwanaume yeye ana gold huko chini ama nini, just tell him to go to hell kama hakuamini, he can disappear kabisa
hapana dada'ngu lasthope.....kwenye mapenzi mkiwa wawili wala sio kitu hio...ndio njia za kulinda Ndoa.....dada Ndoa ngumu sana
wanawake wala hat ujinga wa hivi msikubali
Aah! dada kama upo ndani ya Ndoa mambo haya utayakubali tu......wanaume wamepewa mamlaka si unajua....na kwa mamlaka ya kikatiba waliyopewa na Muumba basi wana haki ya kulinda mali zao..
 
Ndio dada'ngu.....lakini jua kuwa wengine utaalam huo wa anga hawajui na hawataki kwa imani zao.......njia mbadala ambayo wanafanikiwa nayo ndio hiyo niliyoizungumzia..

katika mapenzi katika kulinda tunda lako basi mbinu nzuri nzuri kama hizi zinatumika....mbona ni kitendo kidogo tu usikiangalia kitendo hiki kama kinavyo jadiliwa na watu apa.....angalia mnapokuwa wa2 tu hakuna anaejua....mwisho wa siku ndoa inadumu.....mimi nikuulize nyie mnatumia "software" gani?

Let me let you on my secret, but believe me am telling you the truth .. i dont have to worry myself over this because ... i hand over all my worries to God, at one time i got suspicious of my hubby, i put him down and talked to him about my bases of suspicion, i told him that i believe even if he was guilty he would never admit it even if i put a knife on his neck .. but there is one thing i believe in ... in the holy Quran .. I asked him to swear by it .. we made ablution prayed 2 rakas for guidance and i swore first telling God that what am about to make my hubby swear against is something i have never committed, and that i was seeking God's guidance to reveal to me the truth ... he also swore to it ... and that was cemented .... nikamuachia Mungu .. Yoyo Mungu alikuja kunibainishia .. kwani Mungu anajua kila siri ya mja sasa ukimuongopea na ukamfanya mshirika wako katika uongo lazima atakuadhiri

Wote nyumbani tunatumia njia hii
 
sasa mbona hamwelekezi mwenzenu njia sahihi mnamkejeli na kumlaumu tu ... mimi na advise you check on Weights and Measures ili wakufundishe jinsi they use the dipstick and calibration can ... it may help ... coz i can picture you really serious and desperate trying to get the scent ... wanaume mmmmmh!!!!!!!!

WE WE WEEE NAIMA, Tarrttibu basi na kazi za watu
 
Nasikia huko majuu kuna maeneo wananunua makufuli machafu kwa ajili ya wahusika kupatatia stimu.........
 
...ushaona wanaonunua mitumba ya 'makufuli' mitaa ya manzese/buguruni/tandika sokoni nk? mwingine unamwona anainusa nusa kwanza, ...madness!!!
 
Fidel80,

Nikutiana uchafu huo ... na huyo mwanamke asiyejua kufanya usafi wa ndani atakuwa amemuokota wapi

Nipe mbinu za kuwapima wanaume maana nami nataka nitumie

Kwa mwanaume kupimwa simple....lakini siwezi kukupa nitavunja ndoa yako bure.....endelea kumwamini mzee Naima........
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom