Mzee wa Rula
JF-Expert Member
- Oct 6, 2010
- 8,171
- 3,346
Hao watoto washamba tu, kwani gari ndiyo lina do. Halafu kununua gari ni kipaumbele cha mtu mwingine kipaumbele chake si gari ila ana hela ya magari zaidi ya matatu.
wanasema ukweli bwana hao its wat tgwy want in apartner so kama huna u dnt make the cut....tumubali tuu mapwnzi siki hizi biasharaa
nahisi kizunguzungu..umeandika nin?
hilo utaonekana mfalme kijijini mkuu, nani akutake mwanaume ukirudi home kiuno chote kwisha kazi. hahaaaaaaa, nakutania kaka ila ukweli ni kwamba wanawake wengi husema mwanaume muendesha trekta hana lolote eti kwa kuwa ile yumbayumba ya trekta humaliza nguvu zotehata trekta nalo ni gari. Mimi ninalo,je nakubalika?
duuu, mi leo nimechoka sana baada ya kusoma hii post hebu ngoja nirudi home nikalale, maana nilipanga kwenda mlimani city. lakini nahairisha safari ya huko. afu inaoneka hao wanataka magari tuuu!!! no matter lakwako au sio lakwako!! hatakama umeajiriwa kazi yako ni dereva tuuu kwa wanawake unaadvantage sana!!