Mwanaume anaweza kukaa miezi sita bila ku "do"?

No, nilisema ukweli ila ndo hivyo...nilidata kiaina. Kila demu machoni mwangu alikuwa mkali.

Julius,

Vipi umeona NN imekuboa au wazushi wengi or kampeni za kuelekea kumsambaratisha mzee wa vijisenti?

Sorry kwa kutoka nje ya mada!
 
Jamani, nyie wanaume mmekosa mada ya kuongelea??? Mbona kuna masuala mangi tu yanaikabili nchi yetu mngeongelea: Kilimo Kwana, Eli Nino, Mafuta siyo ya Muungano, etc. Hya ya kumega nashauri muyaache muongee na wale wenu wa karibu mkiwa home!!! I stand to be corrected!!!

Wewe kweli unaelewa hili jamvi linahusu mada gani? Sio kujitia una busara kwa kila kitu. Katika JF kuna majamvi yanayoongelea mada mbalimbali. Wewe kama una mada inayohusu mambo ambayo unafikiri ni ya muhimu zaidi angalia vizuri kuna pahala utaona ili uchague wapi uitundike mada hiyo. Hii mada iko pahala pake kabisa. Sie tunaochangia kwa nguvu zote tunaona umuhimu wa kufanya hivyo. wewe ambae huoni kama ina umuhimu ingia kwenye topic zingine huko anzisha thread au changia zilizoko. Afterall nani kakwambia kama wanaochangia hapa na hizo mada zenye maana hawachangii bana? Uwe unasoma kama umeingia corner gani my dear lady. Hii inaitwa mahusiano(go back and read properly). Kwahiyo muhisika yuko right kabisa kuileta hapa topic hii ya kumegana.
 
Mama mdogo, kinachotakiwa ni wewe kuanzisha hizo thread unazofikiria ndipo nasisi tuchangie na si kuwakosoa walioweka hii thread.

Haya ya kumega ni mahali pake, huu si ukurasa wa (Mahusiano, mapenzi, urafiki) kama huli nyama unakwenda buchani kutafuta nini?
 
Unajua watu wengine wapo kwenye menopause. Kwahiyo mada kama hizi za kumegana zinawaboa. Mamdogo wewe vipi mwenzetu? Kama huna mood basi tuache sie wenye nayo tuserebuke na kushirikishana thread za mtindo huu.
 
Hakika mwanaume anaweza kukaa muda mrefu bila ku-do. Binafsi nilishawahi kukaa 2+yrs, miaka ya 1990s nilipokuwasafarini kimasomo. Enzi hizo nilikuwa na 34yrs niliacha mke na watoto bongo.
 
kadri unavyomegana ndo unatamani kumegana zaidi. The less you do the less you need! Mwili unaji regulate wenyewe kutokana na hali halisi. Kadri unavyokaa muda mrefu bila kumegana, hata mvuto wa kumegana kwako unafifia. Ila ukimegana leo, kesho unataka kwa msukumo zaidi.

Hii wataalam wanaita "use it or lose it policy'. usipotumia hata uwezo na tamaa vinapotea. unapotumia, ndo unahitaji zaidi. hiyo ndo hali ilivyo
 
Inategemea na maumbile ya mtu na Priorities zako, Mi Ku-Mega sio Priority, na huwa sifeel kumega unless the other half anaonyesha progress kwenye mambo yake, na nikiwa nafikiria maendeleo hisia za kumega huwa zinapotea kabisa, so i believe I can last very long bila kumega, lakini sijui how long i have lasted!...

Its amazing how i don't keep track of sex, i guess i dont mind it at all, but i keep track of my progress and money count. 😉

B.
 
ngabu bwana!!!!

ki msingi inategemea, kama si mcha Mungu huwezi kukaa hata mitatu, lakini kama u mcha Mungu hata miaka miwili inakatika.

Sasa wewe, unatuambia pamoja na Mungu ni miaka miwili ? unatakakutuambia kwahiyo kama ni mcha Mungu miaka 4 hafikishi ?
 
kadri unavyomegana ndo unatamani kumegana zaidi. The less you do the less you need! Mwili unaji regulate wenyewe kutokana na hali halisi. Kadri unavyokaa muda mrefu bila kumegana, hata mvuto wa kumegana kwako unafifia. Ila ukimegana leo, kesho unataka kwa msukumo zaidi.

Hii wataalam wanaita "use it or lose it policy'. usipotumia hata uwezo na tamaa vinapotea. unapotumia, ndo unahitaji zaidi. hiyo ndo hali ilivyo
The more you get the more you want!
 
Jamani, nyie wanaume mmekosa mada ya kuongelea??? Mbona kuna masuala mangi tu yanaikabili nchi yetu mngeongelea: Kilimo Kwana, Eli Nino, Mafuta siyo ya Muungano, etc. Hya ya kumega nashauri muyaache muongee na wale wenu wa karibu mkiwa home!!! I stand to be corrected!!!

Hadi umechungulia hii maada bila shaka umevutiwa na kumegwa,sasa mambo ya kilimo,Eli nino hapa kwenye kumegana yanakujaje?
Vp au hauna mzee wa kukumega nn kuna makamanda hapa watakupa tu huduma ukitaka.Hata mimi ukiweza ni PM nitakusaidia.
Suala la 6 miezi bila kumega ni issue ila ukiamua hata miaka kadhaa unadunda!
 
Kuna mambo mengine huwa naagalia tu kama niseme au nisiseme kitu. Hili ni mojawapo.
 
Unajua watu wengine wapo kwenye menopause. Kwahiyo mada kama hizi za kumegana zinawaboa. Mamdogo wewe vipi mwenzetu? Kama huna mood basi tuache sie wenye nayo tuserebuke na kushirikishana thread za mtindo huu.

Hiyo kali mdau! Inawezekana lakini.
 
Toka nizaliwe at the age of 29th ndio nimedo,sio kwamba sikuwa na mpenzi I had and our promise ilikuwa mpaka tuoane.Nimekaa nae for ten years ie from A level,university +5 working years.
Possible hasa ukiwa unazingatia maadili ya kidini na ukiwa busy na committmnet mbarimbari
 
Ishu inakuja sasa kale kamchezo umeshakazoea. Yaani unapiga angalau mara 4 kwa wiki. Afu mama anapotea kwa miezi sita.
 
Ila wanaume mna punyeto inawezekana ulitumia hiyo.

Tutake radhi auntie. Punyeto ni kwa vijana wanaobalehe. Upige punyeto wakati mashosti wa bwerere wamejaa tele?
 
hawezi kukaa kipindi hicho hata kama ataweza kukaa basi ni kwa kujiburudisha yeye mwenyewe, lakini kukaa na migundi miezi sita hilo zoezi si la kitoto jamani. yaani hapa ulitakiwa kusema hata kujiburudisha mwenyewe hakuna, labda kuota tu ndoto nyevu, tuone kama kuna atakayeweza
 
Wewe kweli unaelewa hili jamvi linahusu mada gani? Sio kujitia una busara kwa kila kitu. Katika JF kuna majamvi yanayoongelea mada mbalimbali. Wewe kama una mada inayohusu mambo ambayo unafikiri ni ya muhimu zaidi angalia vizuri kuna pahala utaona ili uchague wapi uitundike mada hiyo. Hii mada iko pahala pake kabisa. Sie tunaochangia kwa nguvu zote tunaona umuhimu wa kufanya hivyo. wewe ambae huoni kama ina umuhimu ingia kwenye topic zingine huko anzisha thread au changia zilizoko. Afterall nani kakwambia kama wanaochangia hapa na hizo mada zenye maana hawachangii bana? Uwe unasoma kama umeingia corner gani my dear lady. Hii inaitwa mahusiano(go back and read properly). Kwahiyo muhisika yuko right kabisa kuileta hapa topic hii ya kumegana.
mwabieni aende kwenye jukwaa la siasa kule atakuta yanayomfaa. akajenge nchi iliyokwisha uzwa hii alas
 
Back
Top Bottom