igowole
Member
- May 25, 2015
- 78
- 33
[emoji23] [emoji23] [emoji23] eti burudanMpaka umeingia hapa, lazima nawe ilikugusa kidogo. Hayo mambo yanayoikabili nchi yetu hata uyazungumze vipi bila kubadili system iliyopo tutabaki tunaongea tu. Ni heri tujadili mambo yanayotugusa moja kwa moja. Tena mambo yanayohusu burudani kuu kuliko zote.