Mwanaume anaweza kukaa miezi sita bila ku "do"?

Mwanaume anaweza kukaa miezi sita bila ku "do"?

mimi wiki mbili kwangu huwa kama miaka miwili!siwezi kabisa kwakweli.
 
inawezekana kwa mwanaume kukaa muda mrefu zaidi, mimi niliwahi kukaa zaidi ya miaka 3.5 hivyo sio ajabu inategemea akili yako umeizoeza vipi kuwaza hayo ya kumega,ukiwa mtu wa kuamsha hisia kila wakati huwezi kumudu na pia hasa kama humuogopi Mungu hutaweza hata mwezi ni tatizo
 
hi people!
kiukweli wakiumeni unaweza kaa mwaka na zaidi ili hali tu kama utakua na yafuatayo: 1. bize working
2. alcoholic & drug addicted
3. faithful enough
so unaweka kukaa mwanaumeeeeee
 
mimi wiki mbili kwangu huwa kama miaka miwili!siwezi kabisa kwakweli.

Swahiba wewe umezidi. Afadhali yangu mi naweza vumilia japo kamwezi kamoja hivi.
 
haya mambo hayana ucha mungu wala sias wewe habari za siasa umeingiaje kwenye mapenzi na uhusiano izi mada muhimu lazima tuziongelee, uvumilivu ni nafsi yako kwa kusema ukweli wanaume si wavumilivu kabisa hata miezi mitatu mingi sana anaweza akabaka ila kama ukiongea na moyo wako hakuna kinachoshindikana na hata wanawake vile vile ila wengi sana nio wavumilivu na hasa wakipenda na kuamini wamependwa sio sawa na sisi mmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmm

Kuna mambo mengine huwa naagalia tu kama niseme au nisiseme kitu. Hili ni mojawapo.

Kuna mdau kauliza kama mwanamke (aliyeolewa? Nadhani alimaanisha hivyo) anaweza kukaa miaka mitatu bila ku do. Imenipa changamoto kubwa. Miaka mitatu si mchezo. Kwa mwanaume je? Miaka mitatu hiyo ni impossible, wote tunajua hilo. Mwaka mmoja naona bado ni ngumu. Je miezi sita anaweza? Hii inamlenga mwanamme rijali aliyeoa ikamlazimu kutengana na mkewe kwa miezi sita tu. Tuangalie na upande wa pili wandugu.

Wanaume kuweni wakweli wajameni. Nawasilisha.

Mimi hata two weeks sifikishi
Cc mbwembwe
 
Back
Top Bottom