Mwanaume anaweza kukaa miezi sita bila ku "do"?

Mi miezi sita naweza ,mwaka siwezi aisee tena kadri navyozidi kukua naona hamu inaongezeka
Sasa sijajua kwa upande wa wanaume
 
Kila mtu humu anaweza kaa mwaka au miaka miwili,mnaweza tu kuandika maana ni rahisi matendo sasa hu hu huu,,, wakati kuna wanaume hata kukaa wiki bila kudo hawezii
 
Kuna mdau kauliza kama mwanamke (aliyeolewa? Nadhani alimaanisha hivyo) anaweza kukaa miaka mitatu bila ku do. Imenipa changamoto kubwa. Miaka mitatu si mchezo. Kwa mwanaume je? Miaka mitatu hiyo ni impossible, wote tunajua hilo. Mwaka mmoja naona bado ni ngumu. Je miezi sita anaweza? Hii inamlenga mwanamme rijali aliyeoa ikamlazimu kutengana na mkewe kwa miezi sita tu. Tuangalie na upande wa pili wandugu.

Wanaume kuweni wakweli wajameni. Nawasilisha.
Mm nina miezi 11 sasa bila kufanya tendo hilo baada ya mwanamke kunifanyia yake (kuondoka kwa kunizalilisha sana )nimewachukia sana sitamani tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huo ni mtizamo wako tu,ndivyo unavyowaza.Lakini ukweli ni kwamba wanadamu tunaishi hasa kwa MAAMUZI.Ukiamua kutulia inawezekana kabisaaaaaaaaa. Binafsi nimeshuhudia watu ambao wanamaanisha wanachosema na hawafanyi mambo hayo mpaka wakabidhiwe mke/mume na Mchungaji/Padre au Shehe.
Unakuwanao wakienda kuoga acha ushabiki wewe changi alafu usiseme umewaona je wewe unaweza kakaaa kwa mda huo kama unaweza sema ndio bwege

Sent using Jamii Forums mobile app
 
asee ni ngum sana mwenyewe hapa nlipo ndio nifefika home niko pombe na ham kibao :(
 
Kila mtu humu anaweza kaa mwaka au miaka miwili,mnaweza tu kuandika maana ni rahisi matendo sasa hu hu huu,,, wakati kuna wanaume hata kukaa wiki bila kudo hawezii

bora wewe unasema ukweli mimi hata week simalizi na umri unavoenda nahis utam unakuwa unlimited :)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom