Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,012
- 95,356
Kuna mdau kauliza kama mwanamke (aliyeolewa? Nadhani alimaanisha hivyo) anaweza kukaa miaka mitatu bila ku do. Imenipa changamoto kubwa. Miaka mitatu si mchezo. Kwa mwanaume je? Miaka mitatu hiyo ni impossible, wote tunajua hilo. Mwaka mmoja naona bado ni ngumu. Je miezi sita anaweza? Hii inamlenga mwanamme rijali aliyeoa ikamlazimu kutengana na mkewe kwa miezi sita tu. Tuangalie na upande wa pili wandugu.
Wanaume kuweni wakweli wajameni. Nawasilisha.
Wanaume kuweni wakweli wajameni. Nawasilisha.