Mwanaume anaweza kukaa miezi sita bila ku "do"?

Mwanaume anaweza kukaa miezi sita bila ku "do"?

Jamani, nyie wanaume mmekosa mada ya kuongelea??? Mbona kuna masuala mangi tu yanaikabili nchi yetu mngeongelea: Kilimo Kwana, Eli Nino, Mafuta siyo ya Muungano, etc. Hya ya kumega nashauri muyaache muongee na wale wenu wa karibu mkiwa home!!! I stand to be corrected!!!
hayo mambo tuwaachie msukuma na ndugu zake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mdau kauliza kama mwanamke (aliyeolewa? Nadhani alimaanisha hivyo) anaweza kukaa miaka mitatu bila ku do. Imenipa changamoto kubwa. Miaka mitatu si mchezo. Kwa mwanaume je? Miaka mitatu hiyo ni impossible, wote tunajua hilo. Mwaka mmoja naona bado ni ngumu. Je miezi sita anaweza? Hii inamlenga mwanamme rijali aliyeoa ikamlazimu kutengana na mkewe kwa miezi sita tu. Tuangalie na upande wa pili wandugu.

Wanaume kuweni wakweli wajameni. Nawasilisha.
Yah inawezekana Mimi binafsi nilisha wahi kukaa miaka miwili bila tatzo
Wewe ukifanya haya utaweza kiasi
Funga
Fanya kazi
Kila jambo litekeleze kwa mda
Soma Vitabu vya dini
Soma magazet ,nb siyo ya udaku
Pata mda wa mazoez ya kukimbia
Pata mda wa kucheza Electronic Games
Kaa na watu wenye malengo ya kukuweka Bize
Panga na tekeleza Mda wa kulala
Mwisho kabisa Usiwachukie wanawake na usiwapende kupitiliza

Sent from my itel it1556 Plus using JamiiForums mobile app
 
Dah Angalau bao 27 kwa mwezi ili kuepuka tezi dume [emoji87] [emoji41]

Sent from my chips yai using JamiiForums Mobile App
 
Mi nimeachana na demu wangu jumatamo iliyopita nimekuja Mwanza yeye yupo Dar. Sasa hivi hapa Nina wakati mgumu sana maana gun inasimama kila wakati hata kama sijawaza juu ya mwanamke! Nimeanza kutafuta leo kakubangaiza maana ntakuwa huku kwa miezi 3

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani, nyie wanaume mmekosa mada ya kuongelea??? Mbona kuna masuala mangi tu yanaikabili nchi yetu mngeongelea: Kilimo Kwana, Eli Nino, Mafuta siyo ya Muungano, etc. Hya ya kumega nashauri muyaache muongee na wale wenu wa karibu mkiwa home!!! I stand to be corrected!!!
mama mdogo tatizo ukiongelea uliyotaja juu unaambiwa mchochezi, sasa bora waongelee mengine tu
 
Yah inawezekana hata zaidi ya hapo...

Ni kuitambulisha tu akili na mwili wako kwamba hilo jambo kwa sasa haliwezi patikana navo vitaelewa

But ikiwa unasema tu kwa mdomo naweza lakini akili umeliweka tendo na mwili umeuweka kitendo muda wote.... Huwezi kaa kwa muda mrefu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom