Mwanaume anapenda nini kwa mwanamke?

Mwanaume anapenda nini kwa mwanamke?

hahaha darling atoto mbona hujanambia kama una wivu hivyo, uzee unanikokea moto?

cc Dark City Asprin
Hivi hawa mabinti wa siku hizi wakoje? Uzee utakutokeaje kwa mfano? Mandela mwenyewe kafa akiwa kijana....

Hommie do the needful kwa huyo mgeni, huyu atoto niachie nimkuze.
 
Last edited by a moderator:
Hivi hawa mabinti wa siku hizi wakoje? Uzee utakutokeaje kwa mfano? Mandela mwenyewe kafa akiwa kijana....

Hommie do the needful kwa huyo mgeni, huyu atoto niachie nimkuze.

na missyrose aamue kati yetu, ya kwamba atoto ni pacha wake au la, kisha tutajipigia kura kwa desturi yetu:A S shade:
 
Last edited by a moderator:
hahaha darling atoto mbona hujanambia kama una wivu hivyo, uzee unanikokea moto?

cc Dark City Asprin

Wacha weeeh!! Ila huyo ni mjukuu wako, nani alikutuma uzae ujiwa na miaka 14?? Ndio ushakuwa babu tena

Hivi hawa mabinti wa siku hizi wakoje? Uzee utakutokeaje kwa mfano? Mandela mwenyewe kafa akiwa kijana....

Hommie do the needful kwa huyo mgeni, huyu atoto niachie nimkuze.

Weeee pacha wangu mumuache ati nyie mababu, lasivyo nitawasemea kwa babu Dark City
 
Last edited by a moderator:
Wacha weeeh!! Ila huyo ni mjukuu wako, nani alikutuma uzae ujiwa na miaka 14?? Ndio ushakuwa babu tena

Weeee pacha wangu mumuache ati nyie mababu, lasivyo nitawasemea kwa babu Dark City

hivi atoto hujui kuzaa ni sifa, hasa nyakati hizi nyie mnaojidai wajukuu memchakachua mfumo wa uzazi?
 
Last edited by a moderator:
Wacha weeeh!! Ila huyo ni mjukuu wako, nani alikutuma uzae ujiwa na miaka 14?? Ndio ushakuwa babu tena

Weeee pacha wangu mumuache ati nyie mababu, lasivyo nitawasemea kwa babu Dark City

Usiwe na shaka kajukuu, hawa wazee wenzangu hawana madhara kabisa....lol!
 
ukitaka mahusiano yadumu.
1.mwanamke mheshimu sana mwanaume anachotaka kubaliana naye
2.mwanamme mpende sana mwanamke wako
Ukimheshimu atakupenda na ukimpenda atakupa heshima yako.
Hii ni kwa wale waliotulia wanahitaji mapenzi ya kweli na mahusiano yenye maendeleo na kudumu, sex mtafundishana pesa mtatafuta wote....
Lakini kwa vicheche na walaghai, malaya na onja onja wao hata uwafanyie nini ni kazi bure kabisa utajikondesha...

Umeongea yote mama,!
 
Mapenzi ni zaidi ya hayo yote mapenzi ni hisia za ndani kabisa ambazo huwa haziguswi na matamanio ya kawaida ya kimwili ya mwanadamu
Bahati mbaya siku hizi mapenzi sio hisia tena bali huendeshwa na mihemko mwonekano wa nje kipato umaarufu Uzuri na show offs za kijinga
Wapo wachache waliobahatika kukutanisha hisia zao na kuzisikiliza wanaishi kwenye pepo ya raha na Furaha

Exactly...😍😍😍 bubbles in the air..jua kuunganisha hisia na sio vikojoleo..
 
Back
Top Bottom