Mis powers
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 2,741
- 3,546
Ameshawahi kukuambia?
Ikitokea je?
Ameshawahi kukuambia?
.good food
.good sex
good sweet words..
.enough space..
Jamani sio hivyo
Eti good sex bila excuses za kijinga. HUMFIKISHI. Unamuachia shombo na vidonda. HUMFURAHISHI. Mara ya mwisho umemsifia kuwa ni mrembo ni siku ya kwanza mmekutana. Yani kule panakauka kama mkate usiotiwa chachu. Akifikiria hiyo sex anaona bora angekuwa mtumwa uarabuni.
Good sex without excuses!!!! Yani hapo unataka ajifanye kila kitu kiko sawa ili tu akufurahishe wewe. And what do they get in return??
Ukikaa kusikiliza story za wadada/wamama wanaohangaika kuridhisha wanaume unaweza ukaenda Mara ukakatwe tu king'amuzi usahau mambo ya wanaume.
Mnyanyembe siku ukipata jibu wanaume wa nataka nini unitag nianzishe semina fasta.
maneno yako yanaonyesha ni wanaume wa aina gani unakutana nao... pole kwa hilo!!!!
mwanaume ukimwambia hujaridhika lazima afanye juu chini next time afanikishe, kama mnalilia saloon mkadhani wanaume ni malaika wanasikia kilio chenu huko pole pia....
Nilikuwa nasubiri "mwanasaikolojia wa JF" aje aniambie jinsi uandishi wangu unaelezea hisia /maisha yangu!!
Uwape pole wanaohangaika kukata viuno na kunuka vitungu just to learn ana mwanamke nje/ hataki tena mahusiano.
Kama wewe huwa unajitahidi kumridhisha mwenzako Hongera na ni mfano wa kuiga kwakuwa wanaume wengi SIO. Utashangaa idadi ya wanawake ambao Hawafikishwi kabisa na wanaume wao.
Bado nasubiri siku mleta mada akipata jibu la kuridhisha..kwani wanaume wote si sawa. Ingawa naamini kama anataka mbongo ye ajifanye mjinga tu atawini.
Hayo ya saluni siyajui.
ungemalizia tu umeniongelea mimi... kwani bado unaogopa
Kwangu mi heshima tu, namuonaga mwanamke wa maana kama tu atakuwa anaishi ndani ya kauli zangu pasipo kuleta ujuaji...Akionyesha kunijali pia ndipo hasa nazidi kutambua uwepo wake bila kusahau uaminifu wake kwangu asiwe K.K.S! Mbali na yote kunipa maisha (papuchi) pindi nikihitaji bila vikwazo,sipendi excuses za kijinga maana soon tutashindwana!
Mahaba ndo cha msingi..vingine naweza kupata hata nje
msosi sijui,ushauri,msaada n.k naweza kupata hata nje..faragha/mahaba ndo kitu pekee kinachomtofautisha wife wangu na wanawake wengineVingine kama Nini mkuu?
msosi sijui,ushauri,msaada n.k naweza kupata hata nje..faragha/mahaba ndo kitu pekee kinachomtofautisha wife wangu na wanawake wengine
mkuu niliposema NJE nilimaanisha ndugu,jamaa na marafiki..sio kuchepuka..Kwa hiyo..kwa mfano ndio umechepuka,kule unakuwa umefuata Ushauri?.
ukitaka mahusiano yadumu.
1.mwanamke mheshimu sana mwanaume anachotaka kubaliana naye
2.mwanamme mpende sana mwanamke wako
Ukimheshimu atakupenda na ukimpenda atakupa heshima yako.
Hii ni kwa wale waliotulia wanahitaji mapenzi ya kweli na mahusiano yenye maendeleo na kudumu, sex mtafundishana pesa mtatafuta wote....
Lakini kwa vicheche na walaghai, malaya na onja onja wao hata uwafanyie nini ni kazi bure kabisa utajikondesha...