Good BRAIN (mwanamke awe na akili ya maisha),
Good LOVING (mwanamke ajue kupenda, utii & heshima),
Good FOOD (mwanamke asiwe mvivu jikoni, ajue kupika),
Good SEX (sex ya kukata kiu and without excuses za kijinga),
Sweet words,
USAFI (mwanamke awe msafi wa mwili na ndani ya nyumba).
For me, hii ndo full package from a woman whom I wish to have.
kama kuna mengine ni ziada
kama kuna mengine ni ziada
Wanaume mnapendaga nini kwa mwanamke? Mpikiwe chakula kizuri? "sex" ya kumaliza kiu yako au mfanyweje? Mana hata mpendweje hampendeki
Nkajua umekuja kwa version nyingine madame, kuna mtu nmemuona anaitwa snow-white nkajua wewehaya ila uwe makini na BRN,
ukitoka mapumziko umsalimie Asprin,sawa enh?
Wanaume mnapendaga nini kwa mwanamke? Mpikiwe chakula kizuri? "sex" ya kumaliza kiu yako au mfanyweje? Mana hata mpendweje hampendeki
mwanaume anatajuwa asiekeweke abadilike badilike kila wakati hasa akiwa na mpenzi borntown,maana wanawake wakijua akipendacho mwanaume huchukulia kama udhaifu na kutumia huo mwanya kufanya maigizo tu ya kimapenzi. Hivyo ukiona mwanaume haeleweki we vumilia tu maana hata wanawake nao hawaelewekiWanaume mnapendaga nini kwa mwanamke? Mpikiwe chakula kizuri? "sex" ya kumaliza kiu yako au mfanyweje? Mana hata mpendweje hampendeki
Mkipendana na kuheshimiana mtadum
umejipendelea na wewe utampa nini au ndo.......good food
.good sex
good sweet words..
.enough space..
umejipendelea na wewe utampa nini au ndo......