rubii
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 14,113
- 18,744
Mmmh mwanaume hata umlambe miguu hakuna kitu
Wewe ndo hakuna kitu inavyoonekana!!!
Rudia soma maelezo yangu vizuri utaelewa
Mmmh mwanaume hata umlambe miguu hakuna kitu
Mmmh mwanaume hata umlambe miguu hakuna kitu
wee mkaangie kuku na madini ya tanzanite uone ahaaaaa
Tunapenda tusifuatwe fuatwe na wake/ wapenzi wetu tunapokuwa ktk mambo yetu ya kiume. Ila wanawake wetu watulie nyumbani, msitupe mastress ya wivu! Kwa kifupi, mtuheshimu!
Hata hakunaga kabisa sababu za kueleweka....
Mbona nje mnatoa?
Rubii mama,ushaolewa/kupata mwenzi/mchumba,kama sivyo njoo chemba tusemezane!ukitaka mahusiano yadumu.
1.mwanamke mheshimu sana mwanaume anachotaka kubaliana naye
2.mwanamme mpende sana mwanamke wako
Ukimheshimu atakupenda na ukimpenda atakupa heshima yako.
Hii ni kwa wale waliotulia wanahitaji mapenzi ya kweli na mahusiano yenye maendeleo na kudumu, sex mtafundishana pesa mtatafuta wote....
Lakini kwa vicheche na walaghai, malaya na onja onja wao hata uwafanyie nini ni kazi bure kabisa utajikondesha...
ukitaka mahusiano yadumu.
1.mwanamke mheshimu sana mwanaume anachotaka kubaliana naye
2.mwanamme mpende sana mwanamke wako
Ukimheshimu atakupenda na ukimpenda atakupa heshima yako.
Hii ni kwa wale waliotulia wanahitaji mapenzi ya kweli na mahusiano yenye maendeleo na kudumu, sex mtafundishana pesa mtatafuta wote....
Lakini kwa vicheche na walaghai, malaya na onja onja wao hata uwafanyie nini ni kazi bure kabisa utajikondesha
Kwangu hii ni post nzuri zaidi kuwahi kukutana nayo,be blessed!

Mkuu Si useme tu umeanza kuweka ulimbo
Rubii mama,ushaolewa/kupata mwenzi/mchumba,kama sivyo njoo chemba tusemezane!
ukitaka mahusiano yadumu.
1.mwanamke mheshimu sana mwanaume anachotaka kubaliana naye
2.mwanamme mpende sana mwanamke wako
Ukimheshimu atakupenda na ukimpenda atakupa heshima yako.
Hii ni kwa wale waliotulia wanahitaji mapenzi ya kweli na mahusiano yenye maendeleo na kudumu, sex mtafundishana pesa mtatafuta wote....
Lakini kwa vicheche na walaghai, malaya na onja onja wao hata uwafanyie nini ni kazi bure kabisa utajikondesha
Kwangu hii ni post nzuri zaidi kuwahi kukutana nayo,be blessed!
Oh Asante kipenzi.
unaendeleaje na mkeo lakini
Wanaume hata mfanyweje hamuliziki mimi hapa natamani hata kuvunja mji sioni raha ya ndoa isipo kuwa naambulia matus toka kwa malaya wake