Mwanaume anapenda nini kwa mwanamke?

Mwanaume anapenda nini kwa mwanamke?

Wanaume mnapendaga nini kwa mwanamke? Mpikiwe chakula kizuri? "sex" ya kumaliza kiu yako au mfanyweje? Mana hata mpendweje hampendeki

Mwanaume ndie mwenye moyo wa kupenda na upendo wa mwanaume kwa mwanamke upo moyoni zaidi sio wa kinafik kama wa mwanamke sa yoyote anakuumiza
 
Mimi napenda shepu!😉
 
Attachments

  • 1440998505247.jpg
    1440998505247.jpg
    26.8 KB · Views: 327
atoto na missyrose tafadhalini badilisheni hizo picha mlizoweka kwenye avatar zenu, zinafanana sana, kwani huwa napata sana shida/confusion wakati nikiwa nawatumia PM,kama jana usiku nimechanganya sana PM zangu!!
 
Last edited by a moderator:

Ndo maana PM zote za atoto zimekuja kwangu
 
Last edited by a moderator:
atoto na missyrose tafadhalini badilisheni hizo picha mlizoweka kwenye avatar zenu, zinafanana sana, kwani huwa napata sana shida/confusion wakati nikiwa nawatumia PM,kama jana usiku nimechanganya sana PM zangu!!

Teh teh,haya nabadilisha avatar khalafu PM zangu zooote zilizoenda kwa atoto unirudishie mwenyewe.
 
Last edited by a moderator:
Akili kichwani kwako.
mme anayekupenda na kukuheshimu hawezi kuomba tigo ni kinyume na maadili na Mungu pia.

Hapo umechemka kataa kutunuku uone dume linavyosepa
 
Wanaume mnapendaga nini kwa mwanamke? Mpikiwe chakula kizuri? "sex" ya kumaliza kiu yako au mfanyweje? Mana hata mpendweje hampendeki
Tatizo ni kuwa mwanaume akipenda mwanamke zaidi ya mmoja unaona kama vile eti wewe hupendwi,kumbe wanaume wanaweza penda wanawake wengi bila tatizo
 
Haha aya Twin. Naacha aendelee kuchanganya PM

Pm yenyewe si mpaka ajue inatumwaje!

atoto nitakupata tu,na ole wako nikupate,nitakuwa nakuchapa fimbo/viboko kupitia dog style!!yaani utakomaje!!

Wacha weee! Haizuiliwi kuwa na ndoto, ila jinsi ya kutimiza ndoto hizo ndio shughuli. Kilalakheri.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom