Mwanaume anapenda nini kwa mwanamke?

Mwanaume anapenda nini kwa mwanamke?

ukitaka mahusiano yadumu.
1.mwanamke mheshimu sana mwanaume anachotaka kubaliana naye
2.mwanamme mpende sana mwanamke wako
Ukimheshimu atakupenda na ukimpenda atakupa heshima yako.
Hii ni kwa wale waliotulia wanahitaji mapenzi ya kweli na mahusiano yenye maendeleo na kudumu, sex mtafundishana pesa mtatafuta wote....
Lakini kwa vicheche na walaghai, malaya na onja onja wao hata uwafanyie nini ni kazi bure kabisa utajikondesha...
 
Wanaume mnapendaga nini kwa mwanamke? Mpikiwe chakula kizuri? "sex" ya kumaliza kiu yako au mfanyweje? Mana hata mpendweje hampendeki
Mnyanyembe futa machozi wanume vyote tunapenda ila kuna kipondi unatakiwa utafute pesa ikitokea hivyo kubaliana kuliko kulalamika katika mitandao au ni bora uja confess kabisa!Ila ninacho kijua katika vitu anbavyo watu wanapenda ni raha yakuwa na mke!
 
Last edited by a moderator:
Wanaume mnapendaga nini kwa mwanamke? Mpikiwe chakula kizuri? "sex" ya kumaliza kiu yako au mfanyweje? Mana hata mpendweje hampendeki

Tunapenda tusifuatwe fuatwe na wake/ wapenzi wetu tunapokuwa ktk mambo yetu ya kiume. Ila wanawake wetu watulie nyumbani, msitupe mastress ya wivu! Kwa kifupi, mtuheshimu!
 
Wanaume mnapendaga nini kwa mwanamke? Mpikiwe chakula kizuri? "sex" ya kumaliza kiu yako au mfanyweje? Mana hata mpendweje hampendeki

Mapenzi ni zaidi ya hayo yote mapenzi ni hisia za ndani kabisa ambazo huwa haziguswi na matamanio ya kawaida ya kimwili ya mwanadamu
Bahati mbaya siku hizi mapenzi sio hisia tena bali huendeshwa na mihemko mwonekano wa nje kipato umaarufu Uzuri na show offs za kijinga
Wapo wachache waliobahatika kukutanisha hisia zao na kuzisikiliza wanaishi kwenye pepo ya raha na Furaha
 
ukitaka mahusiano yadumu.
1.mwanamke mheshimu sana mwanaume anachotaka kubaliana naye
2.mwanamme mpende sana mwanamke wako
Ukimheshimu atakupenda na ukimpenda atakupa heshima yako.
Hii ni kwa wale waliotulia wanahitaji mapenzi ya kweli na mahusiano yenye maendeleo na kudumu, sex mtafundishana pesa mtatafuta wote....
Lakini kwa vicheche na walaghai, malaya na onja onja wao hata uwafanyie nini ni kazi bure kabisa utajikondesha...

Hiyo namba mbili nimeipenda sana
 
Kwangu mi heshima tu, namuonaga mwanamke wa maana kama tu atakuwa anaishi ndani ya kauli zangu pasipo kuleta ujuaji...Akionyesha kunijali pia ndipo hasa nazidi kutambua uwepo wake bila kusahau uaminifu wake kwangu asiwe K.K.S! Mbali na yote kunipa maisha (papuchi) pindi nikihitaji bila vikwazo,sipendi excuses za kijinga maana soon tutashindwana!
 
ukitaka mahusiano yadumu.
1.mwanamke mheshimu sana mwanaume anachotaka kubaliana naye
2.mwanamme mpende sana mwanamke wako
Ukimheshimu atakupenda na ukimpenda atakupa heshima yako.
Hii ni kwa wale waliotulia wanahitaji mapenzi ya kweli na mahusiano yenye maendeleo na kudumu, sex mtafundishana pesa mtatafuta wote....
Lakini kwa vicheche na walaghai, malaya na onja onja wao hata uwafanyie nini ni kazi bure kabisa utajikondesha...

umeongea vizuri sana mkuu. kama wewe ni ke, je ushaolewa?
 
good sex good loving good brain

That's right mkuu... Good BRAIN (mwanamke awe na akili ya maisha), Good LOVING (mwanamke ajue kupenda, ajue kupika, utii & heshima), then Good SEX (without excuses za kijinga). For me, hii ndo full package from a woman whom I wish to have.
 
Wanaume mnapendaga nini kwa mwanamke? Mpikiwe chakula kizuri? "sex" ya kumaliza kiu yako au mfanyweje? Mana hata mpendweje hampendeki

Good BRAIN (mwanamke awe na akili ya maisha),
Good LOVING (mwanamke ajue kupenda, utii & heshima),
Good FOOD (mwanamke asiwe mvivu jikoni, ajue kupika),
Good SEX (sex ya kukata kiu and without excuses za kijinga),
Sweet words,
USAFI (mwanamke awe msafi wa mwili na ndani ya nyumba).

For me, hii ndo full package from a woman whom I wish to have.
 
Back
Top Bottom