Mwanaume anapenda nini kwa mwanamke?

Mwanaume anapenda nini kwa mwanamke?

Me Napenda Wali Maharage Nazi.Khe Pale Kwenye Thikimi
 
ukitaka mahusiano yadumu.
1.mwanamke mheshimu sana mwanaume anachotaka kubaliana naye
2.mwanamme mpende sana mwanamke wako
Ukimheshimu atakupenda na ukimpenda atakupa heshima yako.
Hii ni kwa wale waliotulia wanahitaji mapenzi ya kweli na mahusiano yenye maendeleo na kudumu, sex mtafundishana pesa mtatafuta wote....
Lakini kwa vicheche na walaghai, malaya na onja onja wao hata uwafanyie nini ni kazi bure kabisa utajikondesha...
Umeongea kitu cha kweli kabisa na nimeona na nimeshuudia kwa macho yangu mawili kwa la tatu...:A S 41:
 
Mi napendaga kumfikisha mama la mama no more drama juu ya mawingu(top) kileleniiii!!!...
 
awe fundi kitandani...
kujituma kwake ndio kutamfanya awe wangu milele..
pia ajiheshimu na kuniheshimu
 
Uaminifu....
Uaminifu....
Uaminifu....
Utiifu......
Heshima.....
Madeko......
Uchangamfu.....
Usafi na unadhifu....
Maku yenye uwezo wa kuhimili kimboto vizuri....
Nafasi ya kufanya mambo yangu mengine.....
Good sex and food......
 
Mm sipendi mwanamke mwizi kwenye walet yangu. Napenda awe msafi.Siangalii sura. Heh heh
 
Uaminifu....
Uaminifu....
Uaminifu....
Utiifu......
Heshima.....
Madeko......
Uchangamfu.....
Usafi na unadhifu....
Maku yenye uwezo wa kuhimili kimboto vizuri....
Nafasi ya kufanya mambo yangu mengine.....
Good sex and food......

hii sheria mpya ndo imekufanya utumie ujanja huo ili kukwepana nayo.
 
Unataka usivyoweza kutoa wanaume wengi hamjui majukumu yenu, halafu ukatake mwanamke awe chombo cha kukufurahisha? Makubwa
 
Utii,heshima,nidhamu,kiburi cha mapenzi,uwezo wa kulea vizuri watoto,kujituma,unadhifu na normal deko la kike lisilo na bughdha.
 
Wanaume wanapenda papuchi tuu

Umeongea in general kitu ambacho si kwel ..inawezekana kwa badhi na si wote

Wanaume Tunaojielewa Tunataka

1:Mapenzi Ya kwel
2:Heshima Hekima Na Uaminifu
3: Muwajibikaji
4: Usafi
5:Muonekano mzuri pia unahusika kwa kiasi ,Muonekano wa Sura na Shape
 
Utii kwanza ndipo upendo wa dhati hufuata pamoja na mengine meeengi ikiwa ni pamoja na KURIDHISHANA!.
 
Tafuta kumridhisha mmoja. Ukiapply haya general utajikuta unatumia nguvu nyingi sana. Mjue mpenzi wako anachotamani ndio uhangaike nacho.
Japo nahisi vitu kama sex chakula heshima usafi ni kwa wote, wanatofautiana maana yake

Mfano mmoja akisema chakula ana maanisha menu yenye item 10 mwingine ukae nae mle wote. Mie wangu anataka muda sahihi isipite dakika.
Heshima mwingine ni magoti mwingine hataki kujibiwa mwingine hataki kuangaliwa machoni mwingine hataki uvae suruale mie .
Etc etc
Kwa hio soma hapa ila mjifunze yeye sio wote
 
ukitaka mahusiano yadumu.
1.mwanamke mheshimu sana mwanaume anachotaka kubaliana naye
2.mwanamme mpende sana mwanamke wako
Ukimheshimu atakupenda na ukimpenda atakupa heshima yako.
Hii ni kwa wale waliotulia wanahitaji mapenzi ya kweli na mahusiano yenye maendeleo na kudumu, sex mtafundishana pesa mtatafuta wote....
Lakini kwa vicheche na walaghai, malaya na onja onja wao hata uwafanyie nini ni kazi bure kabisa utajikondesha...

umetema madini mswtee,
 
Kwangu mimi nataka jambo moja tu kutoka kwa mwanamke, "aniheshimu" nami nimpende. Hivyo vikiwepo, mengine yote, yatafanyika.
 
Back
Top Bottom