HahahahahaMwanaume mmoja mkoani Mtwara amekaa na mwanaume mwenzake miezi minne bila kujua.
Kwa mujibu wa maelezo mahusiano yalianza baada ya kukosea namba wakafahamiana mpaka wakafikia maamuzi ya kuoana huku akijua ni wa kike.
Baada ya kufata taratibu wawili hao wakaoana lakini tatizo likaja wakati wa kujamiiana mwenzake wakawa kilasiku anasema anaumwa ikawa hivyo ndani ya miezi mitatu ndipo akaja gundua kuwa ni mwanaume mwenzake.
Kuhusu mavazi anasema mwenzake huyo huvaa kama mwanamke na kupika pia anajua hata kujiremba anajiremba hali iliyo mpelekea kutogundua.
Sure hii kitu wanataka watu waende na majiban kuhusu nn
Ewe binti yangu kati ya kuuziwa mbuzi kwenye gunia na kuvunja amri ya Mwenyezi Mungu(kuzini) ni lipi baya zaidi?[emoji30][emoji30][emoji30]na kuuziwa mbuzi kwenye gunia je??
Hahaaa.Hapo ni mtu na shoga wake wanajuana
Baada ya ishue kubuma ndio jamaa akajifanya kumkana shoga 'ke
Michezo ya mombasa hiyo
Akudanganyi iyo imetokea uko kisiniKuna tofauti kubwa sana kati ya mwanamke wa kuzaliwa na wale wanaojibadilisha.
Umeona utudanganye mkuu. Inamana kuumwa huko hata kumgusa hamgusi. Mmh.
Chagua mji ukale.
Una dhambi kwa sababu kuna watu unawanyima usingizi huku JF![emoji30][emoji30][emoji30]Weeeee taratibu
Hiyo hajadanganya sema kosa lake hakuweka chanzo cha habari yake. Hii habari ilirushwa times fm tarehe 27 06 2017 na jamaa waliohojiwa na kesi ipo polisi huko nanyamba polisi nao walihojiwa wakakili kulifahamu hilo tukio na kwasasa wanamtafuta shehe alieozesha ndoa hiyo. Kinachoonekana huyu dogo alieoa ni bwege, kwasababu hata hiyo kumgundua yenyewe hakugundua yeye aligundua mama yake mzazi. Yaani baada ya kuambiwa na mkewe kua anaumwa km wiki mbili alienda kwa mama yake na akamuuliza kwani mama hivi mukiumwa inakuaga kwa mda gani? bi mkubwa akajibu si zaidi ya siku 7, lkn alimshauri mwanae avumilie Kwanza, lkn hali iliendelea hadi miezi 3 ndipo mama akasema hilo ni tatizo, naomba umlete. Kwahiyo baada ya kuletewa mkwe, mama ndo akamgundua na kumueleza mwanae kua mbona huyu ni si mwanamke?Kuna tofauti kubwa sana kati ya mwanamke wa kuzaliwa na wale wanaojibadilisha.
Umeona utudanganye mkuu. Inamana kuumwa huko hata kumgusa hamgusi. Mmh.
Chagua mji ukale.
Mkuu hata mwili tuu wa huyo mume lazima ungekua una kufa ganzi wakati wa kulalaHahahaa... Mwanamke ana tofauti kubwa sana na mwanaume ukianzia
Vinyweleo
Matiti
Mihemo
Sauti (sio sana)
Umbile(sio sana)
N.k
Sasa hakugundua yote hayo au ni ujanja ujanja.
Hili tukio ni la kweli ingawa tatizo ninaloliona hapa ni jinsi mtoaKuna tofauti kubwa sana kati ya mwanamke wa kuzaliwa na wale wanaojibadilisha.
Umeona utudanganye mkuu. Inamana kuumwa huko hata kumgusa hamgusi. Mmh.
Chagua mji ukale.
Basi msaidie kujaza penye mapungufu ili nasi tuweze kuamini.Hili tukio ni la kweli ingawa tatizo ninaloliona hapa ni jinsi mtoa
Mada alivyolielezea, nalifahamu tukio hili.
Sijapenda kuelezea tukio hili mkuu, pia linashugulikiwa na polisi.Basi msaidie kujaza penye mapungufu ili nasi tuweze kuamini.
Mmh. Basi sawa mkuuSijapenda kuelezea tukio hili mkuu, pia linashugulikiwa na polisi.
Hivyo na wewe umeamini?Hiyo hajadanganya sema kosa lake hakuweka chanzo cha habari yake. Hii habari ilirushwa times fm tarehe 27 06 2017 na jamaa waliohojiwa na kesi ipo polisi huko nanyamba polisi nao walihojiwa wakakili kulifahamu hilo tukio na kwasasa wanamtafuta shehe alieozesha ndoa hiyo. Kinachoonekana huyu dogo alieoa ni bwege, kwasababu hata hiyo kumgundua yenyewe hakugundua yeye aligundua mama yake mzazi. Yaani baada ya kuambiwa na mkewe kua anaumwa km wiki mbili alienda kwa mama yake na akamuuliza kwani mama hivi mukiumwa inakuaga kwa mda gani? bi mkubwa akajibu si zaidi ya siku 7, lkn alimshauri mwanae avumilie Kwanza, lkn hali iliendelea hadi miezi 3 ndipo mama akasema hilo ni tatizo, naomba umlete. Kwahiyo baada ya kuletewa mkwe, mama ndo akamgundua na kumueleza mwanae kua mbona huyu ni si mwanamke?