Mwanaume amwoa mwanaume mwenzake bila kujua

Mwanaume amwoa mwanaume mwenzake bila kujua

ndio maan wanasem SHAKE WELL BEFORE USE huu msemo unamaan sn
Loooh!!!
Pia hapo hapo kwa msisitizo Kibongo Kibongo watu wanamisemo yao ya kuhalalisha utasikia "Nisije uziwa mbuzi kwenye gunia",
"Kusafisha Nyota",
"Nisije kula bila kunawa".

Haya Mambo kwa sasa yamehalalishwa na yana make sense kuepuka vihoja kama vya hawa jamaa.
 
Mh! Chai hii, inamaana hata kulala kwa miezi yote hiyo analala na minguo full?[emoji57] [emoji57] [emoji57] ngoja nitafute [emoji375] maana haiingii akilini
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom