Mwanaume amwoa mwanaume mwenzake bila kujua

Mwanaume amwoa mwanaume mwenzake bila kujua

Dah nikweli kabisa leo nilivyoisikiliza kwenye hekaheka ya clouds fm ilibaki nacheka tuuuu
 
Kwanza kitanzania tanzania tu ule muda wa uchumba ni wachache wenye kuwa na subira kwani walio wengi hawajui kuvumilia. Sasa eti hadi kamuoa na wamekaa miezi mitatu asimfanyie chochote si uongo huo.

Kweli kabisa mkuu sisi sio mazuzu.

Pia hapo hapo kwa msisitizo Kibongo Kibongo watu wanamisemo yao ya kuhalalisha utasikia "Nisije uziwa mbuzi kwenye gunia",
"Kusafisha Nyota",
"Nisije kula bila kunawa".

Haya Mambo kwa sasa yamehalalishwa na yana make sense kuepuka vihoja kama vya hawa jamaa.
 
Pia hapo hapo kwa msisitizo Kibongo Kibongo watu wanamisemo yao ya kuhalalisha utasikia "Nisije uziwa mbuzi kwenye gunia",
"Kusafisha Nyota",
"Nisije kula bila kunawa".

Haya Mambo kwa sasa yamehalalishwa na yana make sense kuepuka vihoja kama vya hawa jamaa.
Hahaaaa. Wanacheza tu na akili zetu. Wawe tu wawazi kuwa wanajuana.

Mana hamnaga vya hivyo siku hizi. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Muongo tu huyu. Hata kama anajiremba ina mana anajiremba 24hrs nijuavyo lazima kuna muda atakuwa yeye kama yeye na ni lazima utofauti angeuona tu.

Kuna kwenda kuoga ina mana huyo mwanaume akiwepo hajawahi kuvua nguo mbele yake.

Hebu atuache na uongo wake.
Mkuu hao walikuwa wanajuana ila walikuwa wanafanya mambo ya laana ya Sodoma na Gomora.
 
Mh mkwara wa waziri wa mambo ya ndani umewakumbusha adhabu watakayo pata ndio maaana wameamua kuwekana peupe ili ionekane kuna makosa ya kiufundi ktk uhusiano wao

Vipi lakini waliwapeleka hosp.. Kupima kama hawajakoroga kisamvu au ndio kimeungulia tayri.
 
kuna masela km mademu kbs asee huwezi kutofautisha!unakuta mwanaume kalegea ht biskuti hadi umvunjie
 
Acha waoaneeee[emoji443] [emoji445] [emoji444] [emoji444]
 
Nimesikia icho kisa clauz but hao waongoo saaana ata matiti,vinyweleo ,makalioo...???
 
Unaweza kuta hata jamaa mwenyewe aliyeoa hajijui kama ni mwanamke au mwanaume...huwez oa mwanamme mwenzio hata siku moja eti hukujua.... Stupid kabisa.
 
Pana uzi mmoja humu unasema kama una stress pitia hapa nawe usiache kutupia ushauri wangu ungepeleka huko ingekuwa bora.
 
Duu yaan jamaa hata hakupitisha mkono kupapasa kidogo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom