Mwanaume amwoa mwanaume mwenzake bila kujua

Mwanaume amwoa mwanaume mwenzake bila kujua

Kishakinai ndo anakuja kuiambia jumuia kuwa ni mwanaume mwenzie.

Nenda Liwale kale wale samaki nchanga.
 
Kuna tofauti kubwa sana kati ya mwanamke wa kuzaliwa na wale wanaojibadilisha.

Umeona utudanganye mkuu. Inamana kuumwa huko hata kumgusa hamgusi. Mmh.

Chagua mji ukale.
Mkuu jamaa hajadanganya niliona kwenye taarifa ya habari jana.
 
Mhhh! Hivi ndo kusema hata wale polisi niliowasikia wakithibitisha suala hili nao si wa kweli? Kwani lina maslahi gani jambo hili, hata polisi wadanganye?
Ujue shida sio kwamba hadi polisi kathibitisha , kinachoshangaza ni je amewezaje kuishi naye kwa hiyo miezi mnayosema minne pasi kujua kama ni mwanaume mwenzie?
 
Hapo katika kufuata taratibu zote hakuambiwa kua anavuta dume?
 
Hapo kuna maswali lazima tujiulize ndiyo tufikie hitimisho.Swali la kwanza huyo mke alikuwa habadili nguo wakiwa pamoja? Na je inawezekana vipi miezi kadhaa baada ya ndoa bila tendo? kwani sheria ya dini inataka binti aolewe akiwa yupo safi kabla au baada ya hedhi.Hivyo kutokana na maswali haya hitimisho lake ni kwamba hao wote ni Mashoga.
 
Mwanaume mmoja mkoani Mtwara amekaa na mwanaume mwenzake miezi minne bila kujua.

Kwa mujibu wa maelezo mahusiano yalianza baada ya kukosea namba wakafahamiana mpaka wakafikia maamuzi ya kuoana huku akijua ni wa kike.

Baada ya kufata taratibu wawili hao wakaoana lakini tatizo likaja wakati wa kujamiiana mwenzake wakawa kilasiku anasema anaumwa ikawa hivyo ndani ya miezi mitatu ndipo akaja gundua kuwa ni mwanaume mwenzake.

Kuhusu mavazi anasema mwenzake huyo huvaa kama mwanamke na kupika pia anajua hata kujiremba anajiremba hali iliyo mpelekea kutogundua.
Baada ya kufuata taratibu zipi ?huyo bu harusi hana ndugu?kama anao walikuwa hawajui kuwa jamaa yao ni mwanaume?hii hqbari ni miongoni mwa zike hqbqri za wapumbavu na wajinga wakidhani huku kuna wapumbavu na wajinga wenzao kama kule FB ambacho kila kinacho bandikwa mradu kuna picha au vyovyote vile huamini na kulazimishana type Amin ,chagua A or B na ungese mwingine!
Kweeendraaaa kule na upuuzi wako ndorobo mkubwa we!
 
Mkuu hili lina ukweli kabisa maana unaweza oa mtu bila kuonja ukakuta papuchi imepooza hatari.Ushaliwa hapo mkuu
Hivi nyie watu mnajua maana ya kuoa au ndio mna taka kuendeleza huu uzi wa kininga? Huyo mtu alienda kutoa mahari ?na inaingia akili kuwa baba anapokea mahari ya mwanawe wa kiume aolewe na mwanaume mwenzake?
hao watu ni wa imani gani?ni kiongozi gani wa kiimani aliyethibitisha ndoa hiyo muwe na akili mitandao isiwazuie kufikiri!
 
Hapo katika kufuata taratibu zote hakuambiwa kua anavuta dume?
Hadithi ya kizushi hii hakuna kitu kama hicho ,kugegeda dume mwenzako inawezekana lakini kuoa na kuishi nae bika kujua kama huyu ana mkia si rahisi na kwa maisha ya sasa nini miezi demu hukai nae masaa matatu kwa room bila kumchomeka au ku"type"kule kunako na ungejua tu kuwa hapa naweza gegedwa mim dume hili!ukatoka nduki
 
Ujue shida sio kwamba hadi polisi kathibitisha , kinachoshangaza ni je amewezaje kuishi naye kwa hiyo miezi mnayosema minne pasi kujua kama ni mwanaume mwenzie?
Hilo hata Mimi limenishangaza pia, mimi nadhani huyo mume ni bwege kweli kweli. Hata hivyo hili suala tayari lipo YouTube, we Sach tu mume amuoa mwanaume mwenzie bila kujua. Ujisikizie mwenyewe.
 
Baada ya kufuata taratibu zipi ?huyo bu harusi hana ndugu?kama anao walikuwa hawajui kuwa jamaa yao ni mwanaume?hii hqbari ni miongoni mwa zike hqbqri za wapumbavu na wajinga wakidhani huku kuna wapumbavu na wajinga wenzao kama kule FB ambacho kila kinacho bandikwa mradu kuna picha au vyovyote vile huamini na kulazimishana type Amin ,chagua A or B na ungese mwingine!
Kweeendraaaa kule na upuuzi wako ndorobo mkubwa we!
mbona uandishi wako ni wa FACEBOOK kabisa? au hujijui
 
Inatokeaje hii! Kweli maajabu saba ya dunia yote yanapatikana Tanzania
 
Mwanaume mmoja mkoani Mtwara amekaa na mwanaume mwenzake miezi minne bila kujua.

Kwa mujibu wa maelezo mahusiano yalianza baada ya kukosea namba wakafahamiana mpaka wakafikia maamuzi ya kuoana huku akijua ni wa kike.

Baada ya kufata taratibu wawili hao wakaoana lakini tatizo likaja wakati wa kujamiiana mwenzake wakawa kilasiku anasema anaumwa ikawa hivyo ndani ya miezi mitatu ndipo akaja gundua kuwa ni mwanaume mwenzake.

Kuhusu mavazi anasema mwenzake huyo huvaa kama mwanamke na kupika pia anajua hata kujiremba anajiremba hali iliyo mpelekea kutogundua.
Sasa Wakati wa kuowa baba mkwe akuwepo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom