mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 14,195
- 19,123
Anajifunza fix huyu! umehitahidi, siku nyingine unaweza kuja na fix itakayoshawishi kidogo!
Ni tukio la kweli mkuu limetokea MBEMBA, Mtwara (v)Anajifunza fix huyu! umehitahidi, siku nyingine unaweza kuja na fix itakayoshawishi kidogo!
Anajifunza fix huyu! umehitahidi, siku nyingine unaweza kuja na fix itakayoshawishi kidogo!
Mkuu hata mwili tuu wa huyo mume lazima ungekua una kufa ganzi wakati wa kulala
Pia usingizi hauwezi kuja. Kuna natural sensation ambazo lazima jamaa angeisi kua kuna tatizo
Katika uhalisia hili jambo halipo hicho kipindi walipokuwa wanawasiliana tu angejua kuwa mwanaume mwenzake..Mwanaume mmoja mkoani Mtwara amekaa na mwanaume mwenzake miezi minne bila kujua.
Kwa mujibu wa maelezo mahusiano yalianza baada ya kukosea namba wakafahamiana mpaka wakafikia maamuzi ya kuoana huku akijua ni wa kike.
Baada ya kufata taratibu wawili hao wakaoana lakini tatizo likaja wakati wa kujamiiana mwenzake wakawa kilasiku anasema anaumwa ikawa hivyo ndani ya miezi mitatu ndipo akaja gundua kuwa ni mwanaume mwenzake.
Kuhusu mavazi anasema mwenzake huyo huvaa kama mwanamke na kupika pia anajua hata kujiremba anajiremba hali iliyo mpelekea kutogundua.
Nakumic [emoji4] [emoji85]Hahaaa.
Nawashangaa watu wamedanganyika kisa story imetoka kituo fulani cha habari. Wenye kuamini wacha waamini ila kiuhalisia hilo jambo haliwezi kuwa labda waseme alimuoa shoga ila kwa sasa mambo yamemshinda.Katika uhalisia hili jambo halipo hicho kipindi walipokuwa wanawasiliana tu angejua kuwa mwanaume mwenzake..
Pia mkiishi pamoja unashindwa kuelewa kwamba hakuna hata cku moja ukamuona akipata hedhi?
Pia mnalala vyumba tofauti hadi usiweze kumshika mwili wake ukagundua utofauti?
Huu ni uongo mtakatifu..
Peleka hizi hadithi kindergarten
Niliwahi kuchat na mwanaume (shoga) facebook, alijifanya mwanamke na tulichat kwa muda ila niliona utofauti ninavyochat na wanawake na ninavyochat na huyo jamaa nikawa natilia shaka jinsia yake, kwa sababu hakuweka picha yake kwe profile pic, aliweke ua tu.Nawashangaa watu wamedanganyika kisa story imetoka kituo fulani cha habari. Wenye kuamini wacha waamini ila kiuhalisia hilo jambo haliwezi kuwa labda waseme alimuoa shoga ila kwa sasa mambo yamemshinda.
[emoji23] [emoji23] sitaki zawadi yoyote, nimetongoza wengi tuNipe mfano wa uliemtongoza hapa JF nami nitakupa zawadi fulani hivi amazing!