Mwanaume amwoa mwanaume mwenzake bila kujua

Hahahaa... Mwanamke ana tofauti kubwa sana na mwanaume ukianzia
Vinyweleo
Matiti
Mihemo
Sauti (sio sana)
Umbile(sio sana)
N.k
Sasa hakugundua yote hayo au ni ujanja ujanja.
Muongo tu huyu. Hata kama anajiremba ina mana anajiremba 24hrs nijuavyo lazima kuna muda atakuwa yeye kama yeye na ni lazima utofauti angeuona tu.

Kuna kwenda kuoga ina mana huyo mwanaume akiwepo hajawahi kuvua nguo mbele yake.

Hebu atuache na uongo wake.
 
Huyo jamaa alio oa hajielewi anashindwa kujua tofauti kati ya KE na ME
 
Muongo tu huyu. Hata kama anajiremba ina mana anajiremba 24hrs nijuavyo lazima kuna muda atakuwa yeye kama yeye na ni lazima utofauti angeuona tu.

Kuna kwenda kuoga ina mana huyo mwanaume akiwepo hajawahi kuvua nguo mbele yake.

Hebu atuache na uongo wake.
kumtandika mwanaume mwenzio yataka moyo
 
Miezi yote hiyo jamaa alikuwa hajaosha rungu tu? Dunia hii imejaa watu wa ajabu sana
 
Mleta mada atakuwa anataka kuolewa huku ni me ameamua kuomba ushauri kiana
Kila la heri na mbinu zako
 
Muongo tu huyu. Hata kama anajiremba ina mana anajiremba 24hrs nijuavyo lazima kuna muda atakuwa yeye kama yeye na ni lazima utofauti angeuona tu.

Kuna kwenda kuoga ina mana huyo mwanaume akiwepo hajawahi kuvua nguo mbele yake.

Hebu atuache na uongo wake.

Hii naiona kama zile tamthilia pendwa za Romanza. Mtu mpaka anaolewa/owa kumbe anampenda mtu mwingine; mwisho wa siku gegedo hakuna huyu analala chini yule kitandani na wako happy tu.

Sio kwa bongo asituone mazuzu. Kuna namna hapo wanajuana hao.
 
Hahahaa... Mwanamke ana tofauti kubwa sana na mwanaume ukianzia
Vinyweleo
Matiti
Mihemo
Sauti (sio sana)
Umbile(sio sana)
N.k
Sasa hakugundua yote hayo au ni ujanja ujanja.
Nope there are Hermophrodite
 
Pengine walikuwa "wanasaidiana" leo zamu yako kunaniliu ukuta sasa kaona ndugu au majirani wamestuka hivyo kaona hiyo sababu iwe kisingizio.
 
Hii naiona kama zile tamthilia pendwa za Romanza. Mtu mpaka anaolewa/owa kumbe anampenda mtu mwingine; mwisho wa siku gegedo hakuna huyu analala chini yule kitandani na wako happy tu.

Sio kwa bongo asituone mazuzu. Kuna namna hapo wanajuana hao.

Kwanza kitanzania tanzania tu ule muda wa uchumba ni wachache wenye kuwa na subira kwani walio wengi hawajui kuvumilia. Sasa eti hadi kamuoa na wamekaa miezi mitatu asimfanyie chochote si uongo huo.

Kweli kabisa mkuu sisi sio mazuzu.
 
Mwanaume mmoja mkoani Mtwara amekaa na mwanaume mwenzake miezi minne bila kujua.

Kwa mujibu wa maelezo mahusiano yalianza baada ya kukosea namba wakafahamiana mpaka wakafikia maamuzi ya kuoana huku akijua ni wa kike.

Baada ya kufata taratibu wawili hao wakaoana lakini tatizo likaja wakati wa kujamiiana mwenzake wakawa kilasiku anasema anaumwa ikawa hivyo ndani ya miezi mitatu ndipo akaja gundua kuwa ni mwanaume mwenzake.

Kuhusu mavazi anasema mwenzake huyo huvaa kama mwanamke na kupika pia anajua hata kujiremba anajiremba hali iliyo mpelekea kutogundua.
Kwahiyo MAHALI ulipokea wewe? Maana wazazi wake au ndugu zake si wanajua kuwa mtoto wao ni mwanaume?

HILI NI KINIKIA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom