Sio hiyo ya kufuatiliana bwana.Kumbe we unataka care iwaje yani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa kweli.Kucare nini? Achia code hiyo dada. Sema Mwanaume anayehonga, anatuma na ya kutolea pasipo kusubiri kupewa invoice.
naunga mkono hojaNgonjera tu hizi...hamna jema nyie
Tatio wanawake ni wachache sanaKhaaa jamni aya nishibishe basi
Kupata mwanamke halisi ndio shidaKuwa wanaume ndio wengi
Mleta uzi ni mwanamke Mkuu, hawaelewekagi wanataka nini haoEti sifa kuu Moja mbona kama umetaja kibao,kupenda,kutimiziwa,kupewa furaha,na kutopewa masharti.Wanawake kaeni mjadiliane mnataka kimoja kipi mstick nacho,"you either get a hot food or a good night sleep,Not both!!!!
Hatari sanaWanawake mmekuwa hovyo sana, yani unataka uhudumiwe na bado uswitch partners kwa uhuru 😀
Yaan utoke uzurure zurure kwangu haiwezekaniAhhah hayo mashart yasidizi sana
Sijaona shart gumu hapo zaid ya kuzurura ila most be uwepo nikizururasiyo?Yaan utoke uzurure zurure kwangu haiwezekani
Uongee na mama yako kila muda nayo Ni upuuzi
Mazoea ya hovyo na watu pia Ni mwiko
Ila mahitaji yote utapata kila kitu hautajihangaisha wewe
Nitajie masharti unayoona magumuSijaona shart gumu hapo zaid ya kuzurura ila most be uwepo nikizururasiyo?
Hili ni kweli kabisaTrust me, hata kama yupo independent 100%, bado anataka kupewa. Usitoe hitimisho wakati hata kumjua hujamjua mkuu.