macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 29,232
- 60,334
Tafuta mbwa ndiyo mwenye sifa hizo. Unatakiwa usipewe masharti, uachiwe ukagawe hovyo! Mara leo birth ya shosti, kesho msiba, kesho kutwa kuvunja vikoba... uachwe tuMamboo
Wanaume mna sifa nyingi ila kuu ni moja ambayo kila mwanamke anataman awe naye ni huyu hapa
Mwanaume ambaye anajua kucare.
Mwanaume ambaye anajua kupenda yaani anajua nini mwanamke anataka naye ana mtimizia kwa wakati
Pia furaha mwanaume ambaye anampa furaha muda mwingi na pia hana masharti yakijinga