Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,407
- 102,444
Halafu utasikia, jf ni ya ma great thinker 🤔🤔Jf imekua ya ovyo Sana .. mada Kama hizi ukisoma comment Chache unakimbia
Halafu utasikia, jf ni ya ma great thinker 🤔🤔Jf imekua ya ovyo Sana .. mada Kama hizi ukisoma comment Chache unakimbia
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]We jichanganye ufate maneno ya mleta uzi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] du hii mathe kali
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] anazunguka sana , awe direct ...au akiona malipo yanachelewa asogee road achukue wa short time mbona easy tuuKucare nini? Achia code hiyo dada. Sema Mwanaume anayehonga, anatuma na ya kutolea pasipo kusubiri kupewa invoice.
[emoji23][emoji23][emoji23] hawa malaya wameamua kuja kujitangaza waziwaziHuyo mwanaume labda mzee bakhresa au Aliko Dangote ndio anaweza kuku care bila kukufuatilia., [emoji3][emoji3][emoji3]!
Waume za watu wataendelea kuwala hadi mwisho wa dahari nyie.
Wanawake wa siku hizi ni kama chura tu. Chura haeleweki amekaa, amesimaa au amelala. Utafanya hayo na hataridhikaMamboo
Wanaume mna sifa nyingi ila kuu ni moja ambayo kila mwanamke anataman awe naye ni huyu hapa
Mwanaume ambaye anajua kucare.
Mwanaume ambaye anajua kupenda yaani anajua nini mwanamke anataka naye ana mtimizia kwa wakati
Pia furaha mwanaume ambaye anampa furaha muda mwingi na pia hana masharti yakijinga
Kuna dada aliwahi niambia ku care ni zaidi ya hayoKucare nini? Achia code hiyo dada. Sema Mwanaume anayehonga, anatuma na ya kutolea pasipo kusubiri kupewa invoice.
Haha nilijua siku ile unanitania kumbe ni tirati yako kutumiwa?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kucare nini? Achia code hiyo dada. Sema Mwanaume anayehonga, anatuma na ya kutolea pasipo kusubiri kupewa invoice.
Ndio maana hmna jema, mnajali huduma na sio mtu, tulishawajulia kitambo.Tunalo sana sema hutaki kutoa huduma
Mamboo
Wanaume mna sifa nyingi ila kuu ni moja ambayo kila mwanamke anataman awe naye ni huyu hapa
Mwanaume ambaye anajua kucare.
Mwanaume ambaye anajua kupenda yaani anajua nini mwanamke anataka naye ana mtimizia kwa wakati
Pia furaha mwanaume ambaye anampa furaha muda mwingi na pia hana masharti yakijinga
Unasahau kidogo tu ukifumwa na mkewe unachomwa kisu cha tako kabla shida ya kumwagwa haijakukumba[emoji1787][emoji1787]Sema mume wa mtu ukimpata naye unasahau shida kidogo [emoji23][emoji23][emoji23] kuliko ivi single boy
Na uwaambie kabisa kuwa hatuwezi kupenda kila ke hata kama anatafunwaKwa kawaida mwanaume LAZIMA ana care pale anapo PENDA tu , narudia tena ni LAZIMA . Kunakuwa na kama msukumo wa ndani.
Kawaida hiyo đź¤Haha nilijua siku ile unanitania kumbe ni tirati yako kutumiwa?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
NaamKwa kawaida mwanaume LAZIMA ana care pale anapo PENDA tu , narudia tena ni LAZIMA . Kunakuwa na kama msukumo wa ndani.
Ile kitu ni inatemaKuhonga maana yake Ni kutoa hela au kitu cha thamani ili kupata kitu Chenye thamani zaidi. Je, wanawake mna kitu gani cha thamani kiasi cha kustahili kuhongwa?!
Una maanisha kilainishi?[emoji23][emoji23]Ndio maana wanawanunulisha gel mbali mbali [emoji848]
Si wanapenda hela za wanaume za watuUna maanisha kilainishi?[emoji23][emoji23]
Daah niliku mind...very sorryUsinihoji mkuu, mie nilifafanua tu point ya figo 76