Mwanaume ambaye wanawake wengi tunawapenda

Mamboo

Wanaume mna sifa nyingi ila kuu ni moja ambayo kila mwanamke anataman awe naye ni huyu hapa

Mwanaume ambaye anajua kucare
Mwanaume ambaye anajua kupenda yaani anajua nini mwanamke anataka naye ana mtimizia kwa wakati
Pia furaha mwanaume ambaye anampa furaha muda mwingi na pia hana masharti yakijinga
Figo76 inaelekea wewe ni aina ya wanawake wasumbufu sana kwenye mahusiano. Yaan wewe unawaza kitu akilini mwako unataka mwanaume atambue akutimizie bila wewe kusema.
Then kuna aina ya wanawake huwa siwapendi I think wewe ni mmoja wao. "Simpendi mwanamke anayetafsiri sexual intercorse kama huduma kwa mwanaume" I truly hate this bad mentality ya wanawake. Mwingine utamsikia yaan hautaki kunihudumia wakati wewe ukija na shida zako mm sikusumbui hakuna kauli mbaya inanitoa kwenye reli kama hili. Watu wamegeuza K zao vyanzo vya kipato ndo utakuta yupo ha idd public ila secretly yupo na hassan, benja, john na mohamet kila mtu anajua yupo permanent na anahudumia kwa nafasi yake. Mwisho wa siku tunaleteana magonjwa tu ama kuuana figo badilika bwana nimeona post zako kadhaa binafsi zinanikera
 
Hoja hapo ni pesa tu, sisi tusoluwa nazo ngoja tuwe wapenzi wasomaji.
 
Hulka ya mwanamke ni kupokea, yaani kama ambavyo ukitaka kukojoa anakuambia "kojoa ndani" yaani "nikojolee", anakuwa anapokea waajemi wako, basi na mengine yote anahitaji kupokea.
 
Mwanamke unapokuwanna mwanaume jiulize hivi tukiondoa sex kwenye relation uliyo nayo una nini cha maana unaweza kushare na mwanaume wako. Kama hauna basi you are simply a blood sucking vampire na hauna maana yeyote ama hauna value kwa huyo mwanaume. Coz kama ni s ex kuna malaya wanajiuza and wapo safe zaidi sababu wanatumia kinga kuliko ww unakuwa na wanaume 4 wote mnaenda kavu. Nao wana wapenzi na wapenzi wao wana wapenzi and the matrix keeps expanding
 
Figo76 inaelekea wewe ni aina ya wanawake wasumbufu sana kwenye mahusiano. Yaan wewe unawaza kitu akilini mwako unataka mwanaume atambue akutimizie bila wewe kusema.
Then kuna aina ya wanawake huwa siwapendi I think wewe ni mmoja wao. "Simpendi mwanamke anayetafsiri sexual intercorse kama huduma kwa mwanaume" I truly hate this bad mentality ya wanawake. Mwingine utamsikia yaan hautaki kunihudumia wakati wewe ukija na shida zako mm sikusumbui hakuna kauli mbaya inanitoa kwenye reli kama hili. Watu wamegeuza K zao vyanzo vya kipato ndo utakuta yupo ha idd public ila secretly yupo na hassan, benja, john na mohamet kila mtu anajua yupo permanent na anahudumia kwa nafasi yake. Mwisho wa siku tunaleteana magonjwa tu ama kuuana figo badilika bwana nimeona post zako kadhaa binafsi zinanikera
Hao wanawake wengi wao ni wale waliozaliwa au kukuliwa kwenye umasikini

Dunia hii kumpata mwanamke atayekupa sex just for funny,aisee ni wachache sana
 
Hulka ya mwanamke ni kupokea, yaani kama ambavyo ukitaka kukojoa anakuambia "kojoa ndani" yaani "nikojolee", anakuwa anapokea waajemi wako, basi na mengine yote anahitaji kupokea.
Mawazo yako tu. Kuna wanawake humu wanafanya kazi hawategemei kuhongwa namjua mmoja nimejuana naye mda mfupi sanaa hata hatujawahi kuonana ila she is totally different mnaa mnapanga mambo kama upo na mwanume. Ndo mwana jf wa kwanza kujuana naye but she is qute physically and mentally
 
Trust me, hata kama yupo independent 100%, bado anataka kupewa. Usitoe hitimisho wakati hata kumjua hujamjua mkuu.
 
Anataka mwanaume am-kee ila asimfuatilie nyendo zake,yaani ahongwe kama ni nyimba,gari n.k ila akitaka kugongwa agongwe na bodaboda au fundi gereji.
Kwanini usimchague mmoja?
 
Mamboo

Wanaume mna sifa nyingi ila kuu ni moja ambayo kila mwanamke anataman awe naye ni huyu hapa

Mwanaume ambaye anajua kucare
Mwanaume ambaye anajua kupenda yaani anajua nini mwanamke anataka naye ana mtimizia kwa wakati
Pia furaha mwanaume ambaye anampa furaha muda mwingi na pia hana masharti yakijinga
Kwahiyo hela, handsome, hubby material hamtaki tena...🤨
 
Mamboo

Wanaume mna sifa nyingi ila kuu ni moja ambayo kila mwanamke anataman awe naye ni huyu hapa

Mwanaume ambaye anajua kucare
Mwanaume ambaye anajua kupenda yaani anajua nini mwanamke anataka naye ana mtimizia kwa wakati
Pia furaha mwanaume ambaye anampa furaha muda mwingi na pia hana masharti yakijinga
Huyo unaemuongelea hapo hayupo[emoji16][emoji16] hata baba yako hakua mtu huyo unae muongelea maana vingine ilibidi umuombe, tena kwa kumkumbusha mara kwa mara, na vingine hakutimiza kabisa![emoji848] Endelea kuota[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
JamiiForums-662492337.jpg

Sent from my TECNO LB6 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom