Mwanaume akutongoze, kisha umfuate kwake kumkanya, kweli ulisikia wapi?

Umesahau pia, mke wa masanja na mtajwa mama huyo walienda kwa katibu kupiga threesome. Inasemekana ilikua kawaida yao
😳😳😳Watu wabaya haya mnayajua alafu hamtaki kutoa ushirikiano na polici hadi wanakuja kutoa taarifa ya utopolo
 
Hii script inazidi kuwa unbelievable and untrustable zaidi ya bongo muvies zetu. Kitendo cha mwanamke ambaye ni Mamq Mchungaji kutumiwa meseji za mapenzi na Katibu wa Kanisa lao kisha ati amchukue mmama mwingine haraka haraka na kwenda kwa huyo Katibu kwenda kumuambia aache, badala ya kutoa taarifa kwa mumewe kunaashiria vingi sana lakini kikubwa ni kwamba hii ni statement ya uongo.

Ni ngumu sana katibu wa kanisa kumtumia meseji za mapenzi Mama Mchungaji, kisha Mama Mchungaji eti ajifunge kibwebwe kwenda kumkanya katibu. Polisi wanaweza kujua mahusiano yalikuwepo au kutokuwepo kwa kupitia SMS tu? Halafu mke mwenyewe ni wa mchungaji wako na wewe ni katibu wa kanisa hilo, mke wa mchungaji akufate na mwanamke mwingine kuja kukwambia usimtumie meseji za mapenzi?

Mama mchungaji aache kumwambia mumewe ili akuondoe kuwa karibu naye? Mke ameenda kwa jamaa na baadaye jamaa amekufa na tayari wame-rule out kajinyonga. What if kama walimmaliza ndio wakaamua kufunika kwa kutumia simu yake kufanya hayo mawasiliano?

Polisi wadili na mauaji tuu, hayo ya mapenzi wayaweke kando kwanza.

PUBLIC CAN NOT BUY THIS CHEAP EXPLANATIONS.

View attachment 2377177
Kufahamika kubaya jamani!
Kwahiyo inamaana wale wahudumu wanaosomaga mameseji yetu ya m-pesa huko waliko kila wakiangalia system ya sms ya mama muchungaji bs katibu wanabaki wanacheka tyu... mmh kuna watu wanasiri aisee
 
bado story ni ya kitoto kidogo.

either jamaa kajiua baada ya kukatishiwa penzi lililomtia ukichaa au kauwawa baada ya kutokutii onyo la kuacha mali za wazee.
issue ya jamaa kujiua eti kisa jamaa kanyimwa mbunye haipo.

Police force should go deep to unveils the hidden issues.
 
Kuna binadamu wanafanya wenzao wapumbavu sana
Hili Sakata lilipoanza tu na picha lilivyopangwa nilijua ni usanii tu

Jinsi kwanza Masanja alivyokuja mbio kwenye Twitter na kutafuta sympathy na kujifanya anajifariji I knew kuna kitu anaficha

Sisi sio wachunguzi bali tumeangalia sana crime reports na crime series nyingi na kujionea jinsi wabongo tunavyochukulia kifo kama aliekufa kafa tu so wamzike na mambo yaende

Ila kwa hili ni usanii unaoendelezwa na hata hao wanaojifanya wanajua sheria
Mtu anafuatwa home kwake hata changu hajawahi kunifuata acheni hizo we are not that dumb
 
Demu mkali yule wewe hakuna demu ambae sio mkali emu acha habari zako za fungu la kukosa.. sio mkali sio wako ila angekua wako ungemuona mkali au?
Emu acha kua hivyo mkuu kwenye ukweli sema ukweli
😅😅😅Mkuu acha makasiliko yeye kaona hivo
 
Hii script inazidi kuwa unbelievable and untrustable zaidi ya bongo muvies zetu. Kitendo cha mwanamke ambaye ni Mamq Mchungaji kutumiwa meseji za mapenzi na Katibu wa Kanisa lao kisha ati amchukue mmama mwingine haraka haraka na kwenda kwa huyo Katibu kwenda kumuambia aache, badala ya kutoa taarifa kwa mumewe kunaashiria vingi sana lakini kikubwa ni kwamba hii ni statement ya uongo.

Ni ngumu sana katibu wa kanisa kumtumia meseji za mapenzi Mama Mchungaji, kisha Mama Mchungaji eti ajifunge kibwebwe kwenda kumkanya katibu. Polisi wanaweza kujua mahusiano yalikuwepo au kutokuwepo kwa kupitia SMS tu? Halafu mke mwenyewe ni wa mchungaji wako na wewe ni katibu wa kanisa hilo, mke wa mchungaji akufate na mwanamke mwingine kuja kukwambia usimtumie meseji za mapenzi?

Mama mchungaji aache kumwambia mumewe ili akuondoe kuwa karibu naye? Mke ameenda kwa jamaa na baadaye jamaa amekufa na tayari wame-rule out kajinyonga. What if kama walimmaliza ndio wakaamua kufunika kwa kutumia simu yake kufanya hayo mawasiliano?

Polisi wadili na mauaji tuu, hayo ya mapenzi wayaweke kando kwanza.

PUBLIC CAN NOT BUY THIS CHEAP EXPLANATIONS.

View attachment 2377177

Ukweli utajiweka wazi. Masanja yupo nje ya nchi na mke wake anaenda kwa katibu kumwambia hataki uhusiano naye. Nadhani walifumaniwa au masanja aligundua kuwa Wana uhusiano wa mapenzi ndio kwa aibu yule katibu akaamua kujiua.
 
Back
Top Bottom