Mwanasheria mkuu mpya wa Serikali ni dhaifu sana!

Mwanasheria mkuu mpya wa Serikali ni dhaifu sana!

Hapa tunaweza kusema tumsamehe tu,kwani yeyote anayeweza kusema kidumu chama cha mapinduzi anaweza
kupewa madaraka yoyote bila kujali uwezo wake wa kiutendaji.
Si umemuona Lusindee alivyohitimisha hoja ya kupigwa kwa wafuasi wa cuf na bado watu wenye akili timamu wakapiga
makofi.
 
sifa ya lawyer ni kuwa philosopher,uaply knowledge na wisdom pia,tumpe mda kwanza
 
Hapana mimi nina undugu naye kwa mbali,zamani nikiwa bado Form 3 nilikuwa nasoma tabora boys mwaka 2004,nikaja huku dsm rikizo ya mwezi wa kumi na mbili kwa shangazi yangu aliyekuwa anaishi karibu na ubungo praza kwenye nyumba za national house.Alikuja akawa anamsimulia shangazi,kuna kesi alitoka kuisimamia kama wakiri wa serikali morogoro ilikuwa kati ya serikali na tajiri mmoja wa kihindi.Alipofika Morogoro kesho yake ndiyo kesi yenyewe alifikia guest ya kawaida alafu akajifungia ndani tu siku nzima,akawaambia wahudumu akija mtu kumuulizia aseme hamna mgeni.Basi yule Mhindi alihaha siku hiyo kila guest Morogoro akienda anamuulizia anatembea na picha yake anaenda anaulizia amefika mgeni anaonyesha picha yake.Yule mhindi alitaka amhonge kabla hawajasimama mahakamni.Mhindi alimkosa Morogoro nzima,kama tujuwavyo wahindi wanaongoza kwa rushwa.Nayeye alilijuwa hilo,nayeye hakutaka hata kuonana naye.Kesho yake wakati wakesi mahakamani mhindi mbele ya hakimu anashangaa kumuona ghafla na ni mbele ya mahakama.Alifanya mambo kwa haki pasipo influence ya rushwa.Ni mtu wa dini sana na mpenda haki.Na watu wenye akiri sana siyo waongeaji sana ni watu wa action.Kwa hii thread nimejifunza kitu kimoja usimhukum mtu pasipo sababu.
Kumbe ndo maana leo kashindwa kujibu kwa sababu hakupewa muda wa kujifungia chumbani kutafakari!!
Hata hivyo ushauri wake wa kutaka hoja isizungumziwe huku akijua jana yake jambo hilo lilitaka kuleta taflani
linanipa jibu kuwa kama ni mtu wa Mungu,basi leo alifanya maamuzi bila kumshirikisha Mungu.
 
Mrithi wa werema hana jipya bora wangemchagua Tundu Lissu kuwa mwanasheria wa serikali
 
zamani nikiwa bado Form 3 nilikuwa nasoma tabora boys mwaka 2004,nikaja huku dsm rikizo ya mwezi wa kumi na mbili kwa shangazi yangu aliyekuwa anaishi karibu na ubungo plaza kwenye nyumba za national house.

Alikuja Masaju akawa anamsimulia shangazi,kuna kesi alitoka kuisimamia kama wakili wa serikali morogoro ilikuwa kati ya serikali na tajiri mmoja wa kihindi.Alipofika Morogoro kesho yake ndiyo kesi yenyewe alifikia guest ya kawaida alafu akajifungia ndani tu siku nzima,akawaambia wahudumu akija mtu kumuulizia aseme hamna mgeni.Basi yule Mhindi alihaha siku hiyo kila guest Morogoro akienda anamuulizia anatembea na picha yake anaenda anaulizia amefika mgeni anaonyesha picha yake.

Yule mhindi alitaka amhonge kabla hawajasimama mahakamni.Mhindi alimkosa Morogoro nzima.Nayeye alilijuwa hilo,nayeye hakutaka hata kuonana naye.Kesho yake wakati wakesi mahakamani mhindi mbele ya hakimu anashangaa kumuona ghafla na ni mbele ya mahakama.Alifanya mambo kwa haki pasipo influence ya rushwa.Ni mtu wa dini sana na mpenda haki.Mimi Mwenyewe nachukia system iliyopo ,inayoendekeza urasimu.

Cake ya taifa inaliwa na watu wachache katika taifa.Viongozi wanatembea na maprado na maisha ya kifahari huku wengine wakiwa katika umasikini wa kutisha.Tofauti na wakati wa Nyerere cake ya taifa ilikuwa inagawanywa kwa watu wote kwenye taifa,Mbuge wa zamani wakati wa nyerere ukimumuona saiz huwez kuamin kama alikuwa mbuge,cake ya taifa ilikuwa inagawanywa kwa watu wote sawa.Uingereza yenyewe Siasa siyo sehemu ya kutokea ni kazi ya kujitolea.Nimeona nilisemee hili siyo kwamba namtetea.
 
Empire confused state of mind
Kalale kijana and wake up to revise your primary 1 skills to know alphabet orders
Jifunze what R is where,how it should be used
Alaf usitudanganye
 
Ha..ha. Yale yale. Umeanza na selfie. Afu unajifanya mluga luga mwanzoni lakini mwishoni umejisahau. Edit mapema kabla hakujakucha.
 
Kumbe ndo maana leo kashindwa kujibu kwa sababu hakupewa muda wa kujifungia chumbani kutafakari!!
Hata hivyo ushauri wake wa kutaka hoja isizungumziwe huku akijua jana yake jambo hilo lilitaka kuleta taflani
linanipa jibu kuwa kama ni mtu wa Mungu,basi leo alifanya maamuzi bila kumshirikisha Mungu.
Unajuwa hata kama wewe ni mzuri ukiteuliwa na wanasiasa nazani mambo mengine unaanza kufanya maamuzi ya kisiasa zaidi
 
Me ndo kwanza nimemuona leo bungeni lakini nahisi kichwa chake kimeonekana cheupee sana, hakuwa na mvuto kama mtaalam wa sharia aliyebobea ameanza tu Tundu Lissu akamfundisha sheria nakamuona amekaa kimya.
 
Ni kwamba ni unaotaaa (ndotoo) ama? Maana nimeshindwa kukuelewa dhumuni lako ni lipi.
 
.Mimi Mwenyewe ni Graduate mwaka 2011 pale UDSM sijapata ajira ,nachukia system iliyopo ,inayoendekeza urasimu.Cake ya taifa inaliwa na watu wachache katika taifa.Viongozi wanatembea na maprado na maisha ya kifahari huku wengine wakiwa katika umasikini wa kutisha..

Mdogo wangu kwa uandishi huu hakika huwezi pata Ajira.
na inaonekana wewe ni KIAZI.
Hiyo degree yako itakuwa ya MADESA.
 
zamani nikiwa bado Form 3 nilikuwa nasoma tabora boys mwaka 2004,nikaja huku dsm rikizo ya mwezi wa kumi na mbili kwa shangazi yangu aliyekuwa anaishi karibu na ubungo praza kwenye nyumba za national house.Alikuja akawa anamsimulia shangazi,kuna kesi alitoka kuisimamia kama wakiri wa serikali morogoro ilikuwa kati ya serikali na tajiri mmoja wa kihindi.Alipofika Morogoro kesho yake ndiyo kesi yenyewe alifikia guest ya kawaida alafu akajifungia ndani tu siku nzima,akawaambia wahudumu akija mtu kumuulizia aseme hamna mgeni.Basi yule Mhindi alihaha siku hiyo kila guest Morogoro akienda anamuulizia anatembea na picha yake anaenda anaulizia amefika mgeni anaonyesha picha yake.Yule mhindi alitaka amhonge kabla hawajasimama mahakamni.Mhindi alimkosa Morogoro nzima.Nayeye alilijuwa hilo,nayeye hakutaka hata kuonana naye.Kesho yake wakati wakesi mahakamani mhindi mbele ya hakimu anashangaa kumuona ghafla na ni mbele ya mahakama.Alifanya mambo kwa haki pasipo influence ya rushwa.Ni mtu wa dini sana na mpenda haki.Mimi Mwenyewe ni Graduate mwaka 2011 pale UDSM sijapata ajira ,nachukia system iliyopo ,inayoendekeza urasimu.Cake ya taifa inaliwa na watu wachache katika taifa.Viongozi wanatembea na maprado na maisha ya kifahari huku wengine wakiwa katika umasikini wa kutisha.Tofauti na wakati wa Nyerere cake ya taifa ilikuwa inagawanywa kwa watu wote kwenye taifa,Mbuge wa zamani wakati wa nyerere ukimumuona saiz huwez kuamin kama alikuwa mbuge,cake ya taifa ilikuwa inagawanywa kwa watu wote sawa.Uingereza yenyewe Siasa siyo sehemu ya kutokea ni kazi ya kujitolea.Nimeona nilisemee hili siyo kwamba namtetea.
Kama maelezo na hoja zako ndiyo hizo ni halali yako kukosa kazi; ndiyo maana hujapata kazi na utaendelea kukosa kazi.!
 
Mara ya kwanza kakosea step Bungeni...mwanasharia Mkubwa!!..mwansharia ana ongea kwa wogaaaa, kubembeleza,kutaka wamtambue yeye ndie aliyesimamia kesi ya Escrow wakati tunajua anae Endesha a Kesi hiyo ni awakili Wa Seerikali Gabriel Malata!!! atawaweza kweli kina Kafulila??, Mkosamali, filikumakambako, zuberi Kabwe,..
 
jinga kabisa leo kajionyesha ni mpumbavu, kwendeni hukooo
 
Back
Top Bottom