NAKEMBETWA
JF-Expert Member
- Apr 20, 2012
- 3,517
- 3,139
mkuu huyo hapo kawekwa kama kivuli tu maana yeye ni kusubiri vimemo na amri toka juu, so kwa hilo magamba hawahitaji mweledi wala mtu makini kivile saana!
Kwa hakika huyu AG mpya ni pigo kubwa kwa watanzania.Kwa kweli amepwaya kupita kiasi!
Tangu aingie ofisini kwa mwezi sasa huwezi kuamini kama ni mwamasheria aliyeiva kiasi cha kupewa cheo kikubwa namna hiyo!
Akiitisha vikao vya kiofisi hadi unamuonea huruma! Kujieleza hajui! Kichwani anaonekana kama haijui sheria kwa kiasi kikubwa mno! Mikataba haijui vizuri kama mtu mwenye cheo cha juu serikalini!
Ikiwa hayo hayajatulia leo akaongea bungeni kwa mara ya kwanza kwenye hoja nzito! Kujieleza kukamshinda tena! Hajui kutofautisha kati ya waziri wa mambo ya nje na waziri wa mambo ya ndani! Hivi kweli Mathias Chikawe ni waziri wa mambo ya nje? Ameishia kutoa maelezo ya juu juu tu eti jambo liko mahakamani lisijadiliwe! Kwa kiwango kipi lisijadiliwe? Kweli ameshindwa kuweka vigezo vya kipi kijadiliwe na ni kipi kisijadiliwe? Mbona spika ambaye ni bush lawyer ameweza?
Miongoni mwa sifa za anayepewa cheo kikubwa kama hicho ni kujiamini na kuhakikisha makosa ya hovyo wakati wa kujieleza hayatokei! Vingine basi huo utakuwa ni udhaifu mkubwa!
Huyu AG kwa kweli ukifanya naye kikao hadi unamuonea huruma! Ni mweupe na asiyejiamini!
Huyu cheo alichopewa ni mzigo mzito kwake na watanzania hatuna siku mbili mtajionea haya ninayowaambieni leo!
Please Mods! Let's talk free!
inaelekea humjui vizuri Hugo unayemjadili ndio unaishia kumshambulia kwa hoja nyepesi na za kitoto sana. Ulizia ni kesi ngapi kazisimamia na ameshinda ? kwa tunaomjua Raisi hakufanya kosa kumchagua ni mtu makini sana na mwerevu na Nguli katika sheria
Achana na kesi za kushinda mkuu!imekuaje jambo lisijadiliwe bungeni!na ANNE MAKINDA mbona karuhusu!mana huyo mwanasheria kaz yake pale bungeni ni kushauri na kupendekeza na sii kutoa amri.chukua hiyo
Mmmmmmm hoja ya kijinga kabisaMara nyingi watu wenye akili nyingi si waongeaji kivileeee
Ujinga mtupu kabisaHuyo ni mwanasheria sio mwanasiasa. Ukitaka siasa subiri wanasiasa waongee utaelewa tu.
Hivi uliona wapi boss incompetent akatafuta junior competent.Kwanza hajui mtu competent yukoje sasa atachaguaje a competent guy.Halafu anaogopa challenges, kwa hiyo ni lazima ahakikishe kwamba ana epuka challenges as much as possible by picking incompetent people,and this is exactly what he has done.
ww ni nwanasheria?upo AG office? au unaongea ongea tu kujifurahisha umemsikiliza cku moja tu tayari umehukumu kama ww sio lawyer kaa kimya pumbavu ww.
inaelekea humjui vizuri Hugo unayemjadili ndio unaishia kumshambulia kwa hoja nyepesi na za kitoto sana. Ulizia ni kesi ngapi kazisimamia na ameshinda ? kwa tunaomjua Raisi hakufanya kosa kumchagua ni mtu makini sana na mwerevu na Nguli katika sheria
mtoa mada yeye anapenda mtu anayetukana hovyo kama tundu lisu mbona AG kasema vizuri sana